USIRI WA LOWASSA huu hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

USIRI WA LOWASSA huu hapa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kimboka one, Nov 25, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ndugu zangu nianze kwa kusema mi sina undugu na Lowasa wala sifahamiani naye zaidi ya kumwona kwenye vyombo vya habari lakini nimekuwa na IMANI naye kubwa tangu zamani na nimekuwa nikiwaeleza watu uzuri na faida ya lowasa kwa taifa letu,wengi wamekuwa wakionesha kumkubali ila wanadai ni fisadi jambao ambalo hawawezi kuthibitisha.

  Sasa ninashukuru Mungu lowassa amechukua ushauri wangu wakueleza ukweli KWAMBA YEYE SI GAMBA kwani alimshauri raisi mapema kabisa kwa kuuvunja mkataba wa Richmond lakina raisi akakataa kwa kisingizio makatibu wakuu wamemkataza.sasa Gamba ni nani? Hapa,je? Ni raisi aliyeukingia kifua au makatibu wakuu?,mi naona mungu ameamua kuikomboa TANZANIA.nianze kueleza faida za lowassa kuwa raisi wetu 2015.

  1. Lowassa ni mchapa kazi tunaona namna alikuwa akitenda wakati akiwa waziri alikuwa akiwa na ziara mkoani kila mtu alikuwa anajiaanda mpaka makondakta walikuwa wanavyaa sare, nchi ilikuwa inahofu katika uwajibikaji lakini tangu amekuja kipenzi cha watanzania mtoto wa mkulima mzee wakulia na mzee asiyona maamuzi kazi yake ni kuomba tu ili hali anamamlaka ya kikatibu, hivyo dhana ya uchapakazi kwetu inatija kwanchi yetu,tunamwitaji lowasa amalizie shule za kata ambazo aliwai kusema hakupanga ziwe kama zilivyo leo.

  2. Lowassa amechafuka sana hivyo anahasira ya kujisafisha jambo ambalo litafanya ajitume kuejesha heshima yake pia hana uccm tena kwani wengi wamejitokeza kumponda hili lina tija kwetu wananchi kwani serikali ya kishikaji itaishia 2015 wakati huo wakina nape watakuwa wamestaafu siasa baada ya kutumiwa kama kisemeo cha ba riz.

  3. Lowassa anathubutu kufanya maamuzi magumu kumbukeni mradi wa maji shinyanga ambao alitakiwa na sheria kuomba kibali cha kuchukua maji ziwa Victoria kutoka misri lakini alifanya kwa faida ya watanzania bila kuogopa nchi za magharibi.

  Hakika lowassa anastahili kuwa raisi kama CCM inataka ibaki hai vinginevyo wamwache Dr slaa aende ikulu japo mmbowe naye ameanza kumpinga slaa naye mmbowe ni gamba la aina yake anataka yeye awe raisi wakati sisi wananchi tunamtaka slaa na huu ni mpango wa wanafiki wanajiita wanaharakati,wahataki watu wachapa kazi waingie ikulu zaidi wanataka vibaraka wao ambao watalinda biashara zao.

  4. Lowassa anakubalika ndani ya chama,watendaji wa kati na wachini wengi wanamkubali lowassa kama ccm ikimsimamisha kazi itakuwa nyepesi kuliko ilikuwa na huu anayepita. MWISHO NDUGU ZANGU LOWASA ANAFAA KUWA RAISI WETU tofauti naye CCM hakuna wengi ni wanafiki tu.na kama haitakuwa hivyo Chadema juweni mtu ambaye watanzania wanaimani naye dani ya cdm ni DR SLAA kama mpango wa kutomsimamisha utafanikiwa basi mjuwe chadema imefikia KIFO chake.

  Huu ni mtazamo wangu usio na ushabiki wa pande wowote.LOWASSA USIOGOPE WATANZANIA WENGI WANAKUPENDA.
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Angekanusha rich mond mapema but hakufanya hivyo akakubaliana nayo kwa kujiuzuru.
  Hana mpya ni F PAPA
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu kwa nini tuombe kibali kutoka misri ili tuyatumie maji ya ziwa letu victoria?hapo naomba ufafanuzi
   
 4. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wampenda ww, na sio weng
   
 5. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  .... namnukuu EL, " kama shida ni UWAZIRI MKUU, basi..."
  :embarassed2:
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kumbe rais ajae anatoka ccm?
   
 7. wasaimon

  wasaimon R I P

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi CCM inawachama wangapi na wenye sifa za kugombea Uraisi? Cdhani kama ni Edo pekee na ni upotoshaji tu kwani yeye mwenyewe hajasema kama anautaka Uraisi ni wale wenye maslai binafsi ndio wako nakihere here cha kumtamkia na hii yote ni tumbo zao tu hakuna lingine...lkn tumbo halina adabu...Kweli mm namkubali kuwa ni mpiga kazi lkn ktk hili la Uraisi mbona sijamsikia akisema anataka kuwa kiongozi wa nchi hii bali watu wa pembeni ndo mnamsemea je yeye hawezi kusema? Au yuko kuchanga karata zake..lkn hata kama anazichanga karata zake hamuoni nyie mnaomsemea mnamharibia.....
   
 8. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mawazo yako yanafanana na yangu. Hasa kwenye suala la maamuzi, yeye ni jasiri. Angalia maamuzi juu ya kuyaleta maji Shinyanga.
   
 9. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Stop this crap! Lowassa would never be a president of this nation! Tumechoka na hii Lowassa's sycophancy! Lowassa amepata nguvu kwa kujua Mwakyembe hayupo kusema ukweli wote.

  Let us pray for the return of Mwakyembe... Fisadi ni fisadi na hatuwezi kujaribu maisha yetu kwa kumpa fisadi nchi! Tanzania ina watu wazuri na waadilifu, hatuwezi ku-recycle mafisadi!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  njaa inaongea.. unadhani hizi promo hazilipiwi?
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  thank you
   
 12. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Bora niachie ngazi ya uwaziri mkuu lakini nilinde marichmond yangu na .
  Mh patamu hapo!
  Hatufai huyu, si kiongozi mwadilifu ni F PAPA
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Well said mkuu, gari zuri ni lile lililopitia misukosuko
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hata kama ukisema huna undugu nae basi kakutuma uje umsafishie njia na kwataarifa yako umepotea njia humu, hatupo kwakuwapigia promo mafisadi humu
   
 15. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ipo haja ya kuwatandika viboko watanzania wote kama huyu bwana atakuwa raisi wa JMT 2015.
   
 16. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Haswa tukianza cc ya ccmag
   
 17. p

  pansophy JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Umeshapewa mshiko wa kampeni mapema yote hii? Kama sio fisadi abainishe jinsi alivyoweza kujirundikia Mali. Kasikilize tena hotuba ya hayati Mwl. Nyerere ndio urudi na makapi yako hapa:mad:
   
 18. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Rudisha pesa uliyopewa kwa ajili ya kampeni,Muda haujafika.Jueni mkianza kampeni mapema mtachoka 2015 ni mbali
   
 19. A

  Anold JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Kama sio hili tishio la Alshabab ningetafuta watu wa aina yako ili tuone namna tutakavyokwenda Airpot kumpokea Lowasa kwa kushinda vita!!! HAKUNA KAMA LOWASA Yeye akisikia kunauchaguzi achukue Form tu kura zipo wazi, nchi hii ikikosa mtu kama Lowasa ni afadhali tujaribu Jeshi maana uswahili umezidi
   
 20. A

  Anold JF-Expert Member

  #20
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  mshajisaidia tayari kwa aibu. kamati kuu imeshindwa ndiyo muweze nyie saga vumbi?
   
Loading...