NAPE NNAUYE tunaomba MAJIBU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAPE NNAUYE tunaomba MAJIBU

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Aug 1, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nape tuna hamu ya kujua kama haya yametekelezwa siku 120 ndo zimekisha
  Najua bado uko dodoma kwa leo lakini utabata muda wa kutupa taarifa ya kina
  kwa haya uliyoyasema mwenyewe  Updates......

  Nape anakutana na waandishi wa habari leo kuongelea yaliyojili
  kwenye mkutano wa jana
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Najua bwana nape utakuja kunijibu
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Atakuja kuelezea ni namna gani chama kimefurahishwa na uamuzi wa rostam kujivua gamba na kimetoa wito kwa wengine kuendelea kujipima na kufanya maamuzi sahihi kwa kuwa ccm wanafanya maamuzi sahihi na sio maamuzi magumu!!
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Lazima atakuja, sasa huivi anapanga sentensi za kusema. lakini ajue kuwa zuga zake zitafuatiwa na maswali magumu zaidi. Watanzania wa leo si wa jana
   
 5. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Namuonea huruma sana ndugu yangu Nape, kila kitu yeye
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Najua upo unachungulia ila naomba majibu ni ilo tu kwa leo
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nasikia Nape anakutana na waandishi wa habari sa 5 leo
   
 8. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  nape Raisi wetu ajaye
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wewe una akili timamu?
   
 10. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  nec si bado hawajakutana? Akujibu nini?
   
 11. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Rostam alisema uamuzi wake usichukuliwe kama kujivua gamba!!! tusichangannye mambo
   
 12. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu haijalisha ama ni nec au ni nini

  SOma maneno yake between the lines anasema hivi mwanza wa kunukuu "kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July " mwishom wa kunukuu
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Nitarudi hapa.
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Akili azitoe wapi? unadhani akili ni zawadi kwa kila binadamu? huyu anazidiwa akili hata na kunguru.
   
 15. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,227
  Trophy Points: 280
  Atakuja kusema hakuwahi kusema hayo ulio m-quote.

  ,,,,na iyo ID si yake, inaweza ikawa ya mtu mwingine mwenye lengo la kumchafua na kumchonganisha. We subiri utakuja n'nyambia.
   
 16. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sijui kama atakuja kujibu haya maana jamaa ana woga si kawaida hawezi kujenga hoja za kukubalika
   
 17. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />

  Kumbe keshaanza kuwaambia vibaraka wake kuwa atakuja kugombea urais kupitia CCJ? Kumbe ndo target za Nape?
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hop anaandaa vivid xamples
   
 19. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  king of king nlitaka nijue kama na wewe ni Rangi ya majani
   
 20. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  then what?
   
Loading...