Msaada jamani, msaada tafadhari. Nimesahau, hivi waziri mku wa TZ wa sasa ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani, msaada tafadhari. Nimesahau, hivi waziri mku wa TZ wa sasa ni nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Nov 25, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu nimesahau. Naomba mnikumbushe jina la waziri mkuu wa sasa TZ ni nani? Jina limenitoka kidogo wadau. Anayejua anijuze haraka kuna swali natakiwa kujibu mara moja.
   
 2. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ni yule babayako wa kufukia ! Umemkumbuka?
   
 3. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mwanangu naona siku hizi umekosa adabu. Hasira za kumwacha mama yako tangu tulipokuzaa wewe unakuja kuzimalizia ukubwani. Mwanangu mi nimeuliza tu jamani kwani nimemsahau huyo kiongozi! Kuuliza si ujinga.
   
 4. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Anaitwa Mwigulu Nchemba kama sijakosea...
   
 5. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  mamako atakuwa anamkumbuka ! m'pm !
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  anaitwa DAVID CAMERON
   
 7. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  we naona nikuache. Kubishana nawe ni kujivunjia heshima bure. Usiku mwema bwana.
   
 8. C

  Calist Senior Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaitwa Sumry
   
 9. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hiki ni kipimo cha ukarimu wa mtanzania. Mtu asiyejua kitu kutoka chinyika huko Manyoni milimani akiuliza swali kama hilo hapo juu atajib
   
 10. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  heshima ulishavunja pale ulipothubutu kupost hii sread ! Haya kung'uta miguu upande kitandani !
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Waziri mkuu ni 'nywele nyeupe'.
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Riziwan kikwete.
   
 13. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Sread ndo chakula gani!
   
 14. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #14
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa kauliza, JF ni uwanja huru. Una uamuzi wa kumjibu au kuacha. Mbona unachukulia kama JF Ya kwako binafsi.
   
 15. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #15
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mwana wa mchapa jembe.
   
 16. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  PM ni yule mzee mnafki anayelialia daily. Jina lake anaitwa mla Mbegu
   
 17. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #17
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  kama umekerwa, pole ! Lakini na wewe mbona hujataja hilo jina ? Au na wewe ni kama yeye? Msituletee mambo ya fb humu ! Fankuroh
   
Loading...