Upendeleo CDM wahamia mikoa mingine kutokea Kilimanjaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upendeleo CDM wahamia mikoa mingine kutokea Kilimanjaro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OTIS, Nov 23, 2011.

 1. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  CDM siku zote imekuwa ikilalamikiwa kuwa na chembe chembe za ukabila,urafiki,ukwe,ukanda nk.
  Mara nyingi wamekuwa wakijaribu kujibu hoja hizi bila mafanikio.
  Mathalani,Mtei kamrithisha chama mkwe wake Mbowe.
  Chacha wangwe aliondolewa u makamu mwenyekiti baada ya kuhoji dhana za kubebana kikabila ndani ya CDM
  Zitto kabwe nae alipigwa sana vita baada ya kutaka kugombea uenyekiti wa CDM.Kiongozi wa shughuli hii alikuwa Mzee Mtei ambae ni mkwe wa Mbowe.
  Kubebana huku kumeenda hadi CDM mikoa mingine.
  Mathalani,Tundu Lissu alicheza kete dada yake akapewa ubunge wa viti maalumu.
  Angalia vichekesho hivi.

  1.Hawa ni ndugu wa damu,angalia majina yao
  Tundu Mughwai Lissu na Christina Mughwai Lissu.

  2.wote wamesoma wamesoma mahambe primary school.
  Tundu,76-82 Christina kasoma 78-84

  Naishia kujiuliza,ina maana hakukuwa na wanawake wengine mkoa mzima wa Singida wa kupewa ubunge wa viti maalumu zaidi ya dada yake na Tundu?
  CDM ina safari ndefu sana
  OTIS
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  crap .... !

  shut your buccal cavity
   
 3. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  only the illuminati succeed-(otis)
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Upendeleo huu unaua upinzani Tanzania.
  OTIS
   
 5. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kijana, litumikie Taifa lako kwa moyo wako woote, akili zako zoote na nguvu zako zoote.
   
 6. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Twambie nani alikuwa anastahili alinyimwa nafasi akapewa dada yake Lissu?
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hakuna wanawake wengine wanachama wa CDM mkoa mzima wa Singida zaidi ya dada yake?
  OTIS
   
 8. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Is what you've put here the best of your thinking? I suppose so. If this is the best of all of what you could have done today, what is the worst of you?
   
 9. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sijui kiingereza mkubwa,tafadhali tumia lugha ya taifa au kichaga.
  OTIS
   
 10. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa hy angenyimwa viti maalumu kisa dada yake Tundu Lisu kisha angepewa mwanawake mwingine hata kama hana sifa?!..
  MY TAKE:- Ka hao VITI MAALUM wana SIFA ya kuzipata hz nafasi acha waendelee KUPEANA tu hata kama wote wanatoka FAMILIA moja,.Muhimu tunachota kuona ni OUTPUT zao kwa JAMII na BUNGENI
   
 11. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo umpost kwa hisia tu! Kwasababu ni dada wa Lissu basi unatwambia ni kigezo cha yeye kutopewa ubunge hata kama mchango wake kwa CDM na kaka yake kushinda ubunge katika mkoa ngome ya CCM ni mkubwa?
   
 12. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hizo sifa zipi walizokosa wanawake wote wanachama wa CDM singida na Dada wa Tundu akawa nazo.
  Acha ushabiki
  Kuna harufu mbaya hapa.
  OTIS
   
 13. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mchango upi zaidi ya kuwa dada wa Tundu?
  OTIS
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Oversite Thinking Immuno Syndrome - OTIS
   
 15. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Khaaa ! Kwa hili siungi mkono CDM.
   
 16. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
   
 17. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  hizo ni fikira mgando ndugu yangu
  OTIS........kama utakuwa unaupeo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo unaweza kurejea uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la igunga waliojitokeza kuomba nafasi ile kwa CDM walikuwa watu wengi kuliko vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi ule mdogo,kwa mtazamo wangu chadema ndio kinakuwa na watu wengi wanaamasika kujiunga si kwa maneno bali na kwa vitendo sitegemei kama uchaguzi ujao mtu atatoka nyumbani kwake akiwa na mawazo yeye ndiye mgombea pekeee wa ubunge /udiiwani kupitia CDM lazima wajiandae kwa mpambano .mchuano utakuwa mkali sana kupata atakae peperusha bendera ya CDM.
  kuhusu mtei,mbowe,mzee ndesa pesa,lisu na wengine kwao ilikuwa rahis kwa ndugu zao kuingi kwa sababu popularty ya chama ilikuwa ndogo na apakuwepo mtu wa kuaminika kumpa jukumu la kwenda kukitetea chama......SUBIRI UONE CHAGUZI ZIJAZO MCHUANO UTAKUWA MKALI SANA.
   
 18. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkubwa,wajua sifa za kuwa Mbunge?
  Tafakari
  OTIS
   
 19. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jibu la Tundu na dada yake kupeana vyeo mkubwa.
  OTIS
   
 20. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Hivi wakati unaandika upupu huu umefikiria huko CCM na serikalini kuna wangapi wenye ndg, wake, waume ect au ?

  Sina haja ya kutaja majina yote maana kwanza yanatia kichefuchefu lakini kwa kuanzia tuambie huyo fisadi mkuu, rizi1 na kale kakinda kaliko ktk baraza la maskauti tanzania. Then chungulia bungeni : Mzindakaya, shelukindoz, Kigodas, Kahamas, Lusindes, Kawawas, Sokoines, Pindas, ect...

  Tuambie hawa waliachiana au gawiana wapi then njoo tujadili...!!

  BTW bora hata hao maana wamewapa watu na kazi yao bungeni inaonekana (magamba wanaijua vizuri) kuliko kujaza wauza unga na huyo waziri mvuta bangi anayesinzia kila siku..!!

   
Loading...