Mapadri wanne wafariki ajalini

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
644
Mapadri wanne raia wa Italia wa kanisa katoliki,wamefariki dunia ,baada ya gari walilokuwawakisafiria kupata ajali.

Ajali hiyo ilitokea jana saaa 5v asubuhi katika eneo la Ruvu kwa zola wilaya ya kibaha,mkoani pwani baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori.

Kamanda wa polisi wa mkoa huo amedhibitisha kutokea kwa jali hiyo na kusema miili ya marehemu imehifadhiwa katika hospitali teule ya tumbi wilayani humo na kuwataja mapadri hao kuwa ni Sylverio Ghelli(72), wa parokia ya pugu aliye kuwa akiendesha gari walilokuwa wakisafiria,Mapadri wengine waliofariki aliwataja kuwa ni Corrad Trivivelli,Luciano Baffgi na aliye fahamika kwa jina moja la Andrea.

Alisema mapdari hao walikuwa wakitokea katika dayosisi ya kongwa mkoani Dodoma kwenda parokia ya pugu,jijini Dar es salaam na wote walikuwa kwenye gari dogo aina ya Toyota Land Cruiser lenye namba za usajli T903 ACQ .

Bwana alitoa bwana ametwaa.
 
Bwana alitoa bwana ametwaa.
Aliyewatwaa ni vyombo vya dola vilivyojaa rampant corruption and malfeasance in enforcing road safety rules.

Think about it, kwanini Mungu wa Huruma "ametwaa" katika mazingira ya kikatili ya kuwakanyaga na matairi ya malori ndani ya gari dogo? Kutoa katoa kwa amani, umezaliwa kwa amani na utulivu, lakini kutwaa anatwaa kwa violence utadhani jasusi la Al Qaida, how do you explain that Mr. Preacher?

sijakuelewa..driver wa hii gari ndo alikuwa na makosa ameovateki bila kuangalia mbele sasa kosaliko wapi.?msiwe mnapenda tu kulaumu vitu bana
 
Mapadri wanne raia wa Italia wa kanisa katoliki,wamefariki dunia ,baada ya gari walilokuwawakisafiria kupata ajali.

Ajali hiyo ilitokea jana saaa 5v asubuhi katika eneo la Ruvu kwa zola wilaya ya kibaha,mkoani pwani baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori.

Kamanda wa polisi wa mkoa huo amedhibitisha kutokea kwa jali hiyo na kusema miili ya marehemu imehifadhiwa katika hospitali teule ya tumbi wilayani humo na kuwataja mapadri hao kuwa ni Sylverio Ghelli(72), wa parokia ya pugu aliye kuwa akiendesha gari walilokuwa wakisafiria,Mapadri wengine waliofariki aliwataja kuwa ni Corrad Trivivelli,Luciano Baffgi na aliye fahamika kwa jina moja la Andrea.

Alisema mapdari hao walikuwa wakitokea katika dayosisi ya kongwa mkoani Dodoma kwenda parokia ya pugu,jijini Dar es salaam na wote walikuwa kwenye gari dogo aina ya Toyota Land Cruiser lenye namba za usajli T903 ACQ .

Bwana alitoa bwana ametwaa.

humo kwenye red and bolded: kuna haja ya wakati mwingine kujua kile unachokiandika mkuu. vinginevyo watu wanaweza kuacha kusoma au kufuatilia unachokiongelea hata kama pengine kina ukweli. hauko sahihi ktk hayo na hapo mtu anaweza kuhoji ukweli wa 'religious affiliation' ya wahusika wa ajali hiyo
 
Jina la Bwana lihimidiwe.Suala la kifo huwezi kuhoji maana bwana akishatwaa roho haiwezi kurudi hata kama kwa kujitakia bwana awape pumziko la milele maana wamemaliza safari yao ya duniani
 
Aliyewatwaa ni vyombo vya dola vilivyojaa rampant corruption and malfeasance in enforcing road safety rules.

Think about it, kwanini Mungu wa Huruma "ametwaa" katika mazingira ya kikatili ya kuwakanyaga na matairi ya malori ndani ya gari dogo? Kutoa katoa kwa amani, umezaliwa kwa amani na utulivu, lakini kutwaa anatwaa kwa violence utadhani jasusi la Al Qaida, how do you explain that Mr. Preacher?

Critical Thinking, I Like This!
 
Mungu saidia.
Mungu wa upendo atambue kazi mliyotumika nayo, na awazawadie kwa jinsi ya kipimo chake...Amina!
 
Nilifika eneo hilo baada ya dakika 5 hivi kisha ajali. Ilisikitisha sana. Mmoja alikuwa hai bado, lakini hakukuwa na yeyote aliyeweza kutoa msaada ili kuokoa maisha. Kila mmoja alikuwa anatazama tu. Hiyo picha ya pili, ni lori lililokuwa likitoka Dar kuelekea Moro, tank lake la mafuta lilichomolewa na gari hiyo ndogo, na mafuta yalikuwa bado yakimwagika hapo barabarani. Lori jingine (halionekani hapa) lililokuwa likielekea Dar, lilikuwa limeanguka na kufunga barabara. Mungu awaweke mahi pema, Amen. ajali3.JPG ajali1.JPG
 
Aliyewatwaa ni vyombo vya dola vilivyojaa rampant corruption and malfeasance in enforcing road safety rules.

Think about it, kwanini Mungu wa Huruma "ametwaa" katika mazingira ya kikatili ya kuwakanyaga na matairi ya malori ndani ya gari dogo? Kutoa katoa kwa amani, umezaliwa kwa amani na utulivu, lakini kutwaa anatwaa kwa violence utadhani jasusi la Al Qaida, how do you explain that Mr. Preacher?

udini na hasiara huleta upungufu wa reasoning... sasa serikali ikiwatwaa roho zao inaziweka idara gani??

Wamekufa kwa ajali iliyotokana na sababu nyingi sana, ikiwamo ubora wa magari, barababra, mfumo mbaya wa uangalizi wa mambo yetu (mimi na wewe) lakini pia mwendo kasi wa wale mapadri wenyewe

sometimes haya mambo yanatufanya tunakua very difficult
 
Amesahau kuwa kanisa la roma halina dayosisi, akikua ataacha-tumsamehe.

Back
Top Bottom