Watizie mnaboaaa..... Mnafanya hivi !!!!???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watizie mnaboaaa..... Mnafanya hivi !!!!????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmteule, Nov 25, 2011.

 1. m

  mmteule JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  nyumbani ni nyumbani....
  Mdharau kwao hana asili................
  Dah... Watanzania wenzangu? Tunayoendekeza ni kinyume na uzalendo!

  Kiongozi akifuata sheria........ Mnonko huyo/ mlokole huyo!!!. (samaki wa magufuri, tume ya mwakyembe, barua ya shelukindo n.k) hii kitu inawakatisha tamaa wapiganaji
  tunapenda udalali kupindukiaaa jamani!!!
  Tunapenda kukumbatia uharifu na waharifu kwa kisingizio cha ukarimu..... Wangapi wanalea wahamiaji haramu? Wangapi wanalea majambazi, na sasa al- shabaab na kuwafadhili?
  Tunapenda kupapatikia raia wa kigeni na kuwaeleza siri zetu zote, na historia yetu yote hata kabla ya kuwajua vizuri.
  Tunapenda kukimbilia maeneo yenye ajali ama rapsha yoyote bila kujali hatari ya mlipuko au maafa yatakayotokea na lengo hasa la watu hawa ni kuondoka na chochote.
  Mnaofanya kazi maofisini lazima uondoke na kitu kutoka ofisini na kukipeleka kwako mfano. Bahasha, karatasi, karamu, fedha, kutoa kazi kwa upendeleo, kufanya kazi kwa kumwangalia mtu....
  Mwisho... Mtu asiyeiba eneo lake la kazi tunamwita mjinga.... Ohh mara hajengi, hana gari, hana kile hana hiki wakati anafanya tra or bot or polisi. Wizi mtupu
  uozo tunaujenga sisi wenyewe ngoja tunyonyolewe na tutabaki watupu.
  Nawatua bwaaaaa!!!!!!!!!!!!!!

   
 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  SYSTEM INARUHUSU
  MWENZAKO ANACHUKUA 2mil WAKATI WW MTENDAJI UNAKAMATA LAKI 4 (TAX EXCL)
   
Loading...