Sugu na vinega ndani ya eatv friday night live.. Don't miss..

Jamaa wa Radio ya Wafu wamebanwa sana na huyu nguli wa muziki wa bongo. Lazima tukaisapoti ant virus kuwatokomeze hawa wakoloni weusi wanaonyonya wasanii kwa mirija mirefu kuliko hata ya wakoloni... Wera wera Vinegaaaaa
 
Sina muda wa kusikiliza matusi. Bora umeniweka wazi,. Tv nazma mapema.
 
Sina muda wa kusikiliza matusi. Bora umeniweka wazi,. Tv nazma mapema.
We ni mtanzania kweli? matusi unayajua? Hivi unafahamu jinsi ruge anavyonyonya wasanii? Kumbuka John Mjema alijiua kwa sababu ya maisha magumu na alikuwa msanii "Under clouds FM"!
 
We ni mtanzania kweli? matusi unayajua? Hivi unafahamu jinsi ruge anavyonyonya wasanii? Kumbuka John Mjema alijiua kwa sababu ya maisha magumu na alikuwa msanii "Under clouds FM"!

yule bangi zilim-wehusha. Umbumbu wao unawaponza.
 
We ni mtanzania kweli? matusi unayajua? Hivi unafahamu jinsi ruge anavyonyonya wasanii? Kumbuka John Mjema alijiua kwa sababu ya maisha magumu na alikuwa msanii "Under clouds FM"!

dah!.kweli mkuu. nakumbuka ule wimbo wake wa wachumba thelathini. john mjema stive2k wamemuacha spider lonely. sasa hivi naona kajiunga kwenye SAMAKI BAND. wadau SAMAKI BAND itakuja kufunika band zote sjui blue band, b band,bush band top band na wengineo.nmeipenda sana. naisubili FNL. Mia
 
chakucktsha wanaharakat kama afande sele na kalapina wamekubali kuwa watumwa wa vpaji vyao.

yaani afande sele kama mtoto wa kike eti bifu linaisha kwa laki 3..kalapina yeye alipoanza kuimba eti tusimwage damu kwa tamaa ya madaraka nikagundua naye virus inabidi kuviscan.
 
Clouds fm ni WAKATILI SANA.Unatembea fiesta then unalipwa nguo na chakula.Halafu ukitoa hata nyimbo mbaya itapigwa sanaaa ili kulipa fadhira....
 
Back
Top Bottom