Maandamano !!! Maandamano!!!!! Jumamosi 26/11/2011: Yana Kibali Cha Polisi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano !!! Maandamano!!!!! Jumamosi 26/11/2011: Yana Kibali Cha Polisi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KING COBRA, Nov 24, 2011.

 1. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Wapo Mission international ya Jijin Dar ,Imeandaa Maandamano ya hisani yenye lengo la kuchangisha Tshs 500m, kwa ya kununua viwanjwa vya ujenzi wa Shule ya Maadili kwa Kizazi kipya.

  Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa bodi wa MISSION hiyo Mhe Jaji Harold Nsekela wa Mahakama ya afrika , Mashariki , maandamano hayo ambayo Mgeni Rasimi ni waziri Mkuu Mizengo Pingo yatafanyika tarehe 26/11/2011!!! Maandamano hayo hayo ni ya zaidi ya 2km ambapo yataanzia eneo la Jogoo.

  Awali mpango huu wa Maadili kwa kizazi kpya ambao unaenda sambamba na Tiba Lishe na Kutoa Sumu uliopo mtaa wa LOLIONDO kurasini ulizinduliwa na Rais Jakaya Kikwete tarehe 18/07/2011.

  Mwenyekiti anawataka watu wote kuhudhuria na wale watakoa shindwa kuhudhuria wachangie kupitia CRDB 01j1013657901 na kwa Mawasiliano zaid piga simu 0787 582845.
   
 2. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,190
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Umenikata Stim kinoma, daaah me nilijua yale maandamano yetu ya jukwaa la katiba ambayo nilishajiandaa na bango langu ninalo nasubiri turuhusiwe kuandamana tu

  Dah
   
 3. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,756
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  al shabab watakua wapi?
   
 4. fige

  fige JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 377
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani ukienda kwenye maandamano hayo na bango binafsi wanakataza ?
   
 5. fige

  fige JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 377
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Al shabab hawataki maandamano ya kupinga serikali.Hapo ndio mtajua ni nani hawa al shabab.si ndio wanawapa wenzao sumu nasikia !!
   
 6. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 280
  Duh aseeeeeeeeeeeee, umekata stimu kabisa nilikuwa nshaanza kuchana box!!!!!!!!!!!!
   
 7. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Mimi nashauli Wale wote ambao walikuwa wanataka kupinga Mswaada wa Katiba waende na Mabaongo hayo kwenye maandamano hayo kwani hakuna anaye kataza!!!

  Mrada wa Kutoa Sumu ni Wa askofu Gammanywa ambaye ni mdau wa CCM hivyo hakuna shaka!!!
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  toka leo mchana polisi wameshatoa tamko la kuzuia maandamano hayo
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,043
  Trophy Points: 280
  Al Shabaab wabaguzi sana, yaani wanataka kushambulia maandamano ya katiba tu?
   
 10. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,032
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Wakiyaruhusu haya maadamano ndiyo nitaamini hawa polisi ni policcm.
   
 11. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,905
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  wakuu twendeni, tutayageuza njiani na kuwa ya katiba!! Jitokezeni kwa wingi tuweze kufanya surprise kwa mapong'o.
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 17,329
  Likes Received: 3,587
  Trophy Points: 280
  Uwe unaweka na aina/sababu za maandamano kwenye heading,
  Namna hii ni kurushiana stimu tu!!!
   
 13. L

  Lsk Senior Member

  #13
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...mimi na jamaa zangu wanne tulokuwa wote katika harakati za kuipigania katiba mpya ya serikali ya wanafunzi pale Chuoni IFM mwaka 2008,tumepanga kuwasuprise waandamanaji wa Gamanya. Tutakuwa na mabango yetu ya kupinga kusainiwa kwa mswada wa Mchakato wa Katiba. Karibuni na wengine,mtuunge mkono na mabango yenu yenye maudhui kama ya kwetu.
   
 14. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #14
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  vipi el shabab. Hawata kuwepo?
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hawatakuwepo
  may b 2858 ova
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  bora wameruhusu hayo maandamano mazuri ya kumkomboa mswahili wa tz na uzembe walionao wakufikiri..
   
 17. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 4,838
  Likes Received: 1,580
  Trophy Points: 280
  We hujui kama police na al shabab damdam?
   
 18. L

  Lsk Senior Member

  #18
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...aibu kwa Kova,shame on Said Mwema!!
   
 19. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mama D! Watokee wapi?
   
 20. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 612
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pingo=Pinda
  Jogoo la wapi?
   
Loading...