Jamani habari ndio hiyo, ni utaratibu wa Serikali kila mwaka unapoanza Watumishi wake hupandishwa ngazi ya mshahara lakini toka mwaka huu wa fedha uanze na tunakaribia kumaliza nusu ya kwanza bado...
Nimekaa na kujiuliza mara tatu nne kwanini Julius Kambarage Nyerere hakuwa na heshima ya udaktari aidha yakupewa au yakusoma darasani.hapohapo nikaanza kujijibu labda ilikua ni upungufu wa vyuo...
Wadau, katika kupitia baadhi ya posts nimegundua baadhi ya wanajamii wengine huwa hawatumii maneno mazuri kabisa katika kukosoa mada husika! Najua hata baada ya kuandika hivyi kuna ambao...
Kesi ya Jerry Muro imekwisha. Mengi yamesemwa juu ya kesi yake. Wapo waliosema alibambikizwa na wengine wakasema tuhuma zilizokuwa zikimkabili ni za kweli.
Kwa wanaofahamu sheria, kesi ikishafika...
Naona Kuna Watu Wanaishusha hadhi jamii forum kwa kupost mada zisizo kuwa na akili...,kisa tu Itikadi za kichama,au chuki binafsi...! Jamani Dk.Slaa Mwacheni Kumwandama kwani Sifa zake au C.V yake...
Wadau bado lile wimbi la mauji ya wanafunzi wa kiafrika hasa wenye ngozi nyeusi wanaosoma Urusi linaendelea.Baada ya kuripotiwa mauaji ya mwanafunzi kutoka Zambia na baadaye Nigeria,sasa hivi...
Wakuu leo nimetimiza miezi miwili tangu nihamie Njiro kwa Msolla.Njiro ni sehemu ambayo imepangika (imepimwa)bila shaka hii ni sababu kubwa iliyonivutia kujenga hili kukwepa hadhaa ya msongamano...
Mrembo wa Tanzania Aolewa na Kibabu cha Kiingereza, Anusurika Kukatwa Mikono Yake
Sunday, December 04, 2011
Mwanamke mrembo wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 25 tu amekiona cha moto baada ya...
nimezunguka maeneo mengi hapa bongo , nikakuta vijana wengi hupenda kukaa katika vikundi ambavyo si rasmi ,nahukaa hapo
pengine hadi majira ya jioni,je nini manufaa ya kukaa hivyo?na kama kuna...
Ikiwa kutakuwa na taarifa za ki-intelinsia ya kuwepo uwezekano wa sherehe za kilele cha maadhimisho ya sherehe ya Uhuru wa Tanganyika kushambilwa na Alshabab, basi polisi ipige marufuku kufanyika...
Monday, December 5, 2011NDEGE YA UPEPELEZI YA MAREKANI YASHUSHWA NA IRAN
Jeshi la Iran linasema kuwa limedungua ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani, mashariki mwa nchi, na italipiza kisasi...
Haya kama kawaida yetu Tz
Tunawaambia nyie UK,kuwa hatuna nia ya kuwashitaki hawa jamaa waliopiga pesa ya rada hapa Tz,mpaka nyie mtuonyeshe mliowashitaki huko kwenu UK
Acheni watu wetu wabalizi...
Huyu Balozi Tim Clarke anawakilisha Umoja wa Ulaya hapa Tanzania. Umoja wa Ulaya ni mjumuiko wa watawala wetu wa zamani kabla hatujapata uhuru. Hata hivyo mwenendo wa huyu balozi hauonyeshi...
I was on the web browsing and luckily i saw this article.
I found it handy,please read it.
How Is Your Child Smart?
Boost your child's success by understanding his learning style.
By Thomas R...
Sadam Hussein alisifika kwa silaha ikiwemo ndege za kivita, akawekewa hiyo sanction, na haikuruka ndege hata moja. Haya hayo yakamkuta Gadhafi. Je nini hufanyika mpaka
ushindwe kurusha ndege zako ?
Wanabodi
Mzee David Wakati, amezikwa leo jioni katika makaburi ya Kinondoni.
Mazishi hayo yamehudhuriwa na umati wa watu, wakiwemo mawaziri, wanasiasa, viongozi wakuu wa dini, waandishi wa...
Wana Jamii,
Mimi Kama mdau wa michezo hususani mpira wa miguu nimekua nikifuatilia kwa ukaribu michuano ya CECAFA inayoendelea hapa jijini Dar es Salaam. Ila nimesikitishwa sana na viwango duni...
Dah!! madeni yamenizonga na sasa tumeanza mwezi mwingine. Kuna yeyote ana taarifa kwa nini tumecheleweshewa mshahara?? Nasikia wengine wamepata ila sisi hata dalili hakuna, kila unayemuuliza...