Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

.sasa hali ni mbaya muhi2. Mabingwa nao wamegoma, wagonjwa wanafukuzwa wodini.. kuna jambo sijalielewa.. DR MARINA NJELEKELA MKURUGENZI MKUU MUHIMBILI yuko wapi..! sijamsikia toka mgogoro huu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
mh godfrey zambi alitoa hoja kwamba kwa kuwa kuna taarifa ya mgomo wa madaktari bingwa basi ni vyema bunge likajadili suala hili katika hali ya dharura.spika makinda alipinga hoja hiyo na kusema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikitika kusema kuwa nchi yetu, licha ya kupinga tamko la Uingereza na Marekani juu ya Haki za Mashoga, tayari Tanzania iliridhia haki za Mashoga tangu 2009. Kwa Mjibu wa Mkakati wa Taifa la...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mimi binafsi naona itawezekana baada ya Katiba Mpya kurudisha Serikali ya Tanganyika. Naomba wananchi wenzangu wa Zanzibar wakati wa kuandika Katiba mpya ukifika idai serikali ya Tanganyika...
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Serikali yes inawezekana ni dhaifu kwa kuitazama in isolation kwa mabaya ambayo inafanya but sisi kama watanzania mmoja mmoja kwa umoja na wingi wetu tunafanya nini katika kumsaidia rais at least...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Kwa wahusika! Hizi ajali za boda boda kugongana na magari na kisha wao kujikusanya na kushambulia wenye magari na magari yao na kuleta hasara imekithiri sana, hata kama mwenye gari hana kosa na...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
wakuu hamjambo?Za mishughuliko? Nimesikia leo ni siku kubwa sana katika historia ya nchi yetu baada ya Mh. Rais kukubali marekebisho ya sheria ya mchakato wa katiba mpya aliyoisaini baada ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninayasema haya kwa uchungu.Haiwezekani kila jambo limuhusulo mtanzania likaamuliwa na CCM.Nchi hii haikufanya makosa kuweka utawala wa Ki-Urais na Ki-Ubunge unaolazimisha kuwepo kwa vyama vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ndo mana tukiingia kwenye anga zao wanatupa kipondo cha kufa mtu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangazo kwa wahehe wote,chuo kipya kabisa cha kihehe{HEHE SKILLS AND TECHNICAL COLLEGE OF LIFE}kinatangaza kozi za masomo kwa mwaka 2011/2012 kama ifuatavyo. 1. Kugema ulanzi miezi 6...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday Times, a South African newspaper, dated August...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Jumapili wauzaji wa jumla waligoma kuuza kwa wenye bar. jana jtatu tunauziwa bia moja kwa tsh 1,800.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna utapeli mpya umezuka wakati huu wa Promotion za tIGO. Nimetumiwa sms toka +255652165304 inasomeka hivi " PATA OFA KABAMBE KUTOKA tiGO WEKA SH,5000 KATIKA AKAUNTI YAKO KISHA TUPIGIE SIMU...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Duh hii ni balaa jamani hawa jamaa kweli wana timing maana kuna wakati wanakulazimisha eti umezidi 50 speed!Kituo cha pale Msoga wanaudhi sana wale na pale visiga wanaojificha kwenye banda la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mh. Dada kamata, hakuna jambo lililo nishtua kama wewe kusema wimbo wa 'Mageuzi usiniguse nimeolewa' umeimbwa na wanawake WOTE Geita. Nipo mbali na geita ila nina jamaa wengi huko nimejipa muda...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
France impounds African autocrats' 'ill-gotten gains'French authorities are investigating the conspicuous Paris fortunes of three serving African leaders and their families...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Sijui nani alikuwa anamtuma huyu jamaa maana sijui kaishia wapi watu wamarudi kazini kufanya kazi yeye kapoteza ajira
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Nimestahamili vya kutosha lakini imefika mahali ningependa wana Jf na watanzania wamuelwe mama Kibajuki nje ndani ndani nje .kutokea mika ya 70 ,lakini kwa leo nitadokeza kidogo tu kwa kumuliza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa habari za harakaharaka za kuvunjikavunjika inasemekana................ Kikao kilichoisha muda huu cha speshalist na kosaltants wa muhumbili/moi na muhas kimefikia maamuzi ya kusitisha huduma...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kuna ajali imetokea hapa millenium tower karibu na kijiji cha makumbusho. jamaa wa pikipiki singasinga alikuwa anatokea maeneo ya mikocheni amepark akisubili magari yanayotoka mwenge yapite, gafla...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…