Matumizi halisi ya mradi wa Tochi za Traffic barabara

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Duh hii ni balaa jamani hawa jamaa kweli wana timing maana kuna wakati wanakulazimisha eti umezidi 50 speed!Kituo cha pale Msoga wanaudhi sana wale na pale visiga wanaojificha kwenye banda la matunda,cha kushangaza siku zote wakikukamata mwisho wa gemu ni rushwa tu!hongereni kwa huu mratiiiiiii!
 
na sasa wameongeza ziko nyingi, tunaosafiri kwendaga arusha zamani kutoka chalinze hadi segera tochi ni moja tu, sasa ziko kama 4 ivi, acheni njaa za kijinga kwani huo usalama barabarani upo kwenye overspeed tu, alafu issue ya overspeed ni ngumu kuna sehem wameweka kibao speed 30, kwa gari za kisasa speed iyo unaifikia ndani ya sekunde 5 tu! kinachouzi zaidi ni hii hali yao ya kujificha ili ukosee wakukamate!
 
Back
Top Bottom