Wana JF naomba msaada katika hili pleeeeeeeeeease!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF naomba msaada katika hili pleeeeeeeeeease!!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ecolizer baba, Feb 7, 2012.

 1. e

  ecolizer baba Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 40
  wakuu hamjambo?Za mishughuliko?
  Nimesikia leo ni siku kubwa sana katika historia ya nchi yetu baada ya Mh. Rais kukubali marekebisho ya sheria ya mchakato wa katiba mpya aliyoisaini baada ya kupitishwa kwa mbwembwe , kejeli,madoido na matusi kibao toka kwa wabunge wa magamba a..k.a walilia posho lakini baada ya chama makini cha CHADEMA kumpa tuition amekubali kufanya marekebisho makubwa ambayo mwanzoni alikataa alipohutubia wazee wa magamba wa DSM.Ikumbukwe kuwa hata wazee wa kusinzia na kupiga meza mjengoni na wanaoitikia ndiyooooooooooooooooooo hata kama wametoka kuamka toka usingizini na kukuta jambo linaulizwa waliwatukana sana wabunge wa CDM waliotoka nje ya ukumbi kupinga kuburuzwa. Kwenye hili sakata CCM-B wakiongozwa na Hamad Rashid walibaki kuunga mkono wenzao wa CCM -A.
  Sasa leo marekebisho yanawasilishwa bungeni baada ya JK kuwapiga biti wabunge wake waliotaka KUBOYCOT kupinga marekebisho hayo kisa wanaogopa Dr. Slaa na Baregu kuingia katika tume ya katiba. NAOMBA KWA WENYE TAARIFA WANISAIDIE KUJUA NI MUDA GANI MAREKEBISHO YATAWASILISHWA ILI NAMI NISOGEE KWENYE RUNINGA KWANI NIKO DARASANI KWA SASA.JE, NI ASUBUHI AU NI JIONI?
  Naomba kuwasilisha
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Duh, mie nilidhani kitu cha maana kumbe ni hiki . Marekebisho hayo ni kiini macho mkuu, kwani katika mapendekezo yaliyotolewa na kada mbali mbali yanayokwenda kufanyiwa marekebisho hayazidi asilimia 5, sasa utasema hayo ni marekebishi kweli?. Mengi ya CDM yamepigwa chini na Rais ndio mteuzi wa mwisho wa tume na si mwingine, ww huoni huo ni usanii ?. CDM wamepigwa changa la macho

   
 3. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Marekebisho hayo ya sheria yatawasilishwa bungeni siku ya Ijumaa, baada ya kipindi cha maswali na majibu asubuhi.
   
 4. Ras Cutty

  Ras Cutty Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kaka soma majibu utayapata hapahapa jamvini kabla hata ya hicho kikao chao. kwani hao wanaomshauri nao ni member humu JF.
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Taratibu tu mambo yatakaa sawa ngoja tuone bungeni patakuwaje
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  aah kumbe ni wewe?
  nilitaka kukujibu ila nilipogundua ni mzee wa chimpumu acha nikupuuze.
   
 7. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Ndio umeshamjibu kk umemuita mzee wa chumpumu
   
Loading...