Ajali nyingine tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali nyingine tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dubu, Feb 5, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  kuna ajali imetokea hapa millenium tower karibu na kijiji cha makumbusho. jamaa wa pikipiki singasinga alikuwa anatokea maeneo ya mikocheni amepark akisubili magari yanayotoka mwenge yapite, gafla ikaja gari iliyo kuwa ikitokea mjini na kumgonga. mama aliyekuwa anaendesha gari alikata kona bila kangalia mbele. dreva wa pikipiki kaumia sana coz ukiona mwanaume analia jua kuna jambo. mama aliyegonga anatetemeka. kamuita mmewe aje aendeshe gari, labda hana leseni.
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  mambo ya kawaida sana hayo kwasasa.kwanini lakini?
   
 3. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,719
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  asante kwa kutujuvya, mpe pole aliyegongwa
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  gari ni T754BHK na pikipiki ni T653BAR. Mwenye pikipiki anataka atibiwe na kutengenezewa pikipiki yake. yule mama kakimbia na kumuacha rafiki yake akiwa ba gari. anasema eti ameenda kumuita mumewe. wa pikipiki naye anasema anataka kwenda kwao india kashakata tiketi. anasema anabidi kwanza atibiwe na pikpik yake itengenezwe. mimi siwaelewi.
   
 5. U

  Uwilingiyimana Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na mimi sikuelewi. Mara unasema huyo anampigia mmewe aje, mara huyo mama kaimbia...sasa tushike lipi. Umeleta habari jamvini, sawa, tunashukuru. Lakini pia kuwa makini, sio unagonganisha tu
   
 6. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280

  Hahahah, jamaaa anadhani tupo wote pale.
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  +Johnwalker red label maana leo ni wikienda
   
 8. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ajari nyingi zinasababiswa na wenye magari kwa sababu ya kiburi
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tatizo madereva wengi wa Tz wanaletewa leseni nyumbani pasipokujua sheria hata moja sheria wanajazijulia hukohuko barabarani wakati wa kuendesha gari
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mh! Nyoosha sentensi kidogo hapa mwisho hujaeleweka kidogo
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwakuliona hilo
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha haa! Ajari heeee!?
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Poleni kwa yaliyowakumba ktk hiyo ajali
   
 14. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  ktk purukushani zangu za kutafuta pa kumalizia weekend nimeshuhudia jamaa wawili wakiingia baloon kwa nyuma huku zakheem mbagala. Wote dereva mwenzie wako hoi
   
 15. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jaribu kushauri uonacho chafaa. Mara nyingi kwenye ajali watu huchanganyikiwa so wanahitaji kuongozwa.
   
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wote mliopatwa na majeraha,MUNGU akawajaze nguvu na mpone mapema!
   
 17. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  wa pikipiki alikuwa hataki kwenda hospital eti ndege itamuacha. watu wanamwambia kutokana hali yake akatibiwe kwanza coz hawezi hata kutembea. akawa anakataa eti atatibiwa india mara polisi watamsumbua kumpa pf3. yeye anataka atengenezewe pikipiki na kumpa hela akatibiwe. mama aliyemgonga kakimbia gari kamuachia rafikiye. rafiki yake hajui kuendesha. naomba mtu wa kuendesha hadi maria stop pale mwenge. sijawaelewa.
   
 18. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  pole kwa singasinga
   
 19. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  mtoa mada leo hujaenda kazini?
   
 20. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  kwanini mkuu?
   
Loading...