YUKO wapi Dr Ulimboka Na mgomo wake...KAPOTEZA AJIRA?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Sijui nani alikuwa anamtuma huyu jamaa
maana sijui kaishia wapi watu wamarudi kazini
kufanya kazi yeye kapoteza ajira

images
 
acha kukurupuka wewe,kwani aliyetoa taarifa watu warudi emergence ni nani? Tafuta habari kwa umakini ndo uandike humu. Leo wanakutana na kamati ya bunge ili kufikisha madai yao. Muhimbili hakuna hata specialist anayefanya kazi,wote wako kwenye vikao endelevu. Theatre kuna nurses na anaesthetists tu. Kama huamini nenda hospitali ya umma ukatibiwe uone kama huduma zipo.
 
usishasikia popote duniani Daktari akapoteza ajira? labda hapa kwenu
 
acha kuandika habari za kiunafiki unadhan ni mwalimu huyu hadi apoteze ajira!
 
Sijui nani alikuwa anamtuma huyu jamaa
maana sijui kaishia wapi watu wamarudi kazini
kufanya kazi yeye kapoteza ajira

images

Du hii kali !
Ina maana ukiwa na njaa kwa sababu ya kutolipwa mafao yako basi inabidi usubiri kutumwa kudai haki zako?
 
acha kukurupuka wewe,kwani aliyetoa taarifa watu warudi emergence ni nani? Tafuta habari kwa umakini ndo uandike humu. Leo wanakutana na kamati ya bunge ili kufikisha madai yao. Muhimbili hakuna hata specialist anayefanya kazi,wote wako kwenye vikao endelevu. Theatre kuna nurses na anaesthetists tu. Kama huamini nenda hospitali ya umma ukatibiwe uone kama huduma zipo.
Nipo hapa TMJ natibiwa kwa bili kali, kama kweli madaktari wa Hosptali za serikalini wameanza kazi tusituane niende
 
Jamani msiongee kwa jazba kuhusu huyu ulimboka. Arudi tu kazini. Hii ndio serikali tuloichagua na wakicheza kweli ajira watapoteza, unajua kwa nini sikuhizi tz karibia madaktari 200 wanagraduate... so unafikiri why serikali wanaringa
 
hawawezi kurudi kirahisi! Hata wakirudi ni afadhali ulipie gharama kubwa kuliko kutibiwa na mtu mwenye hasira na serikali kwa kumnyima haki zake.
 
Jamani msiongee kwa jazba kuhusu huyu ulimboka. Arudi tu kazini. Hii ndio serikali tuloichagua na wakicheza kweli ajira watapoteza, unajua kwa nini sikuhizi tz karibia madaktari 200 wanagraduate... so unafikiri why serikali wanaringa

kwa taarifa yako waliogoma ndo waliograduate karibuni. Siku hizi watu wanadaiwa na bodi fedha kibao afu we unataka kuvuna kupitia wao. No more tolerance
 
madaktari bingwa wamegoma na kuunga mkono juhudi za kina ulimboka.sasa nyie bakieni gizani mkisema sio daktari badala ya kushughulikia hoja za madaktari.
 
Jamani msiongee kwa jazba kuhusu huyu ulimboka. Arudi tu kazini. Hii ndio serikali tuloichagua na wakicheza kweli ajira watapoteza, unajua kwa nini sikuhizi tz karibia madaktari 200 wanagraduate... so unafikiri why serikali wanaringa

ivi ww umetokea wapi kwanza?mfanyakazi yeyote wa kada ya afya kukosa kazi hcho kitu hamnaga,Uliomboka he is a Doctor cyo mwuza bamia ka ww!
 
Nipo hapa TMJ natibiwa kwa bili kali, kama kweli madaktari wa Hosptali za serikalini wameanza kazi tusituane niende

pole mkuu.
Nimekuona hapa unaingia kwa yule specialist wa magonjwa ya ngozi...
 
Nipo hapa TMJ natibiwa kwa bili kali, kama kweli madaktari wa Hosptali za serikalini wameanza kazi tusituane niende
kwataarifa tu ni kwamba hata wale ma-specialist nao wamegoma.....
 
Sijui nani alikuwa anamtuma huyu jamaa
maana sijui kaishia wapi watu wamarudi kazini
kufanya kazi yeye kapoteza ajira

images

Muhimbili kuanzia mchana wa leo ni total shut down! hakuna hata emergency kufanyika na tuombe mungu isisambae hadi kcmc mbeya na bugando.. itakua balaa na historia nchi hii.. sasa wewe bakia na upuuzi wako wa kuchumia tumbo hata kwenye mambo ya msingi
 
We need independent information regarding Doc's strike,mgomo umeisha au unaendelea?Na kama umeisha umeisha kwa makubaliano yapi,au ndo ulikuwa mkwara mbuzi,njaa ikizidi watu wanarejea ofisini kimyakimya?
 
Back
Top Bottom