Sakata la madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la madaktari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ukweli2, Feb 6, 2012.

 1. u

  ukweli2 Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Kwa habari za harakaharaka za kuvunjikavunjika inasemekana................
  Kikao kilichoisha muda huu cha speshalist na kosaltants wa muhumbili/moi na muhas kimefikia maamuzi ya kusitisha huduma zote including imejensi infact hospital imeamuliwa ifungwe kamati pia itakutana leo na viongozi wa dini mashee na maaskofu je tutafika????
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu wa kaya yeye yuko huko Dom anabembeleza wabunge wake wapunguze hasira za posho.
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Habaru hizi si za kushabikia hata kidogo
   
 4. S

  Shansila Senior Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I wish.......watu wote wangekuwa na mawazo kama yangu!Tugeprotest hadi serikali iachie ngazi.Serikali yenye kiburi,isiyojali watu wake,dhalimu na zandiki!Eti serikali haina uwezo wa kutekeleza madai ya madaktari!Sherehe za kufuru za miaka 50 ya uhuru,sherehe za kufuru za miaka 35 ya kuzaliwa CCM!mtamdanganya nani kuwa hamna hela serikalini?Madaktari komaeni,we will shortly join u!
   
 5. m

  mama cha Senior Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata tunisia walianza mdogo mdogo 2waunge mkono hadi kieleweke
   
 6. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Niko nyuma ya madocta komaheni mpaka kieleweke
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  so sad. . . !
   
 8. s

  sugi JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  daa,inasikitisha sana,watanzani hata wakiwekwa vidole,"tunajivunia amani"
   
 9. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dah! Puani au masikioni!!
   
 10. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,674
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Watanzania kwa mizaha, hakunaga kama sisi. Maisha ya watu yanazidi kupotea, wengine wanaendelea na vikao na mikutano isiyoisha. Saafiiii sanaaa!
   
 11. b

  balzac Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  hilo ndilo tatizo letu........... yalipandishwa bei mafuta ya taa watu wakanungunika then wakatulia, walala hoi wanaendelea kununua mafuta ya taa kwa bei ya petroli.mgao wa umeme watu wamenungunika then wakatulia, sasa hili linatuhusu wote,afya zetu............watanzania kimya.badala ya ku solve watu wanapiga propaganda tu
   
 12. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nakumbuka mbowe mwaka 2005 pale viwanja vya jangwani kwenye kampeni alisema watanzania tuna akili mgando kweli naziona.... Hivi kinachofanya watu tusi react ni nini?
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  unataka u-react vipi?? against hospital?? doctors?? au serikali??
   
 14. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wapo wanaosema tupo hivi kwa sababu uhuru wa nchi hii hatukuupigania bali tuliudai.... Tungeupigania tungejua thamani yake tungeulinda labda tungekuwa tumeamka japo kama kenya....

   
 15. D

  Developer JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 285
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  mi nafikiri labda ni kwa sababu watanzania wengi hatulipili kodi kwa hiyo tunadhani huduma za jamii ni kama msaada hatu feel ile possession kwamba this is our right and we need to fight for it.
   
 16. K

  KANAN Senior Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mh.kama kweli tufyule nyambala....tanzania ni zaid ya uijuavyo! Keep rethnkng
   
Loading...