Mtanuwia Radhi wana Jf

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Nimestahamili vya kutosha lakini imefika mahali ningependa wana Jf na watanzania wamuelwe mama Kibajuki nje ndani ndani nje .kutokea mika ya 70 ,lakini kwa leo nitadokeza kidogo tu kwa kumuliza mama kibajuki Unakumbuka katika ile mika ya 70 ukiwa nje ya Tz masomoni mzanzibar mmoja alipokwita Bibie na wewe ukakasirika ?kwa kutokujuwa nini maana ya Bibie tafsiri yake ? makubwa zaidi yatafuata baadae (yale ambayo mtu yakujifungia mchumbani na kuangusha lio) naimani unajuwa fika kuwa wazanzibar sio wapumbavu kiasi hicho na hilo unalijuwa (unalielewa) hata kabla hujaingia katika chama au serekali.
 
Mama kibajuki ndo nani?
Unajua umuhimu wa kutaja jina sahihi hasa wakati unamu-accuse mtu?
Na kama ni personal attack this is a weak one Sonara, pullleeeez! A gal can have a crying spree without having to explain (wajua hormones weye?)
mama Kibajuki
kumuliza mama kibajuki
 
Na kama hili ni mojawapo ya mambo ambayo 'umestahamili', basi kifuko chako cha stahamili kinahitaji meneja, nawaza kujitolea ila mtiti wake sikawii kukutoa na kifuko cha nyongo!
 
Mama kibajuki ndo nani?
Unajua umuhimu wa kutaja jina sahihi hasa wakati unamu-accuse mtu?
Na kama ni personal attack this is a weak one Sonara, pullleeeez! A gal can have a crying spree without having to explain (wajua hormones weye?)

kama lugha zenyewe ndio hizo, ngoja na mie nimuulize kwa lugha yake labda ndio tutamuelewa:

''Kani wee Thonala ni Mdhadhibaliii au Mdhadhibalaaa....??''
 
Back
Top Bottom