Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro Christopher Timbuka, amesema kundi la vijana lililozua vurugu na kuweka jeneza lenye mwili wa kijana aliyefariki dunia juu ya gari lake la kikazi lilikuwa...
2 Reactions
13 Replies
222 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Serikali ya Qatar kwa mafanikio makubwa ya matumizi ya teknolojia ya kisasa na nishati safi katika mifumo ya...
2 Reactions
9 Replies
306 Views
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa akikabidhi tuzo ya Mdamini Mkuu wa Malkia wa Madini kwa Mkuu wa Kitengo cha Uendelezaji Biashara Changa na Ujumuishaji wa Kifedha, Ndugu, Fadhili...
0 Reactions
1 Replies
26 Views
Benki ya Exim Tanzania imeungana na viongozi wa taasisi, wafanyabiashara, washirika na wadau mbalimbali katika CEO Golf Day 2026, hafla iliyofanyika Septemba 26, 2026 katika Sea Cliff Golf Club...
0 Reactions
0 Replies
20 Views
https://youtu.be/teh38l2_o5Y?si=5U6fUqn4aLEhIQrw
2 Reactions
3 Replies
44 Views
https://youtu.be/u_LqRNfxvr8?si=ou1PNpnLeBIfPrLV
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Mimi binafsi siwezi hata dakika 5 kukaa chini kutazama muziki au kuwasha radio kusikiliza muziki. Unakuta mtu mzima badala ya kuwasha TV na kuangalia yanayoendelea nchini anakwambia kabisa oooh...
4 Reactions
18 Replies
202 Views
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington DC umepokea barua pepe kutoka “The Office of Chief Medical Examiner” ikitaarifu kuwa inachunguza kifo cha Mtanzania aitwaye KHALIFA H. SIWA...
9 Reactions
85 Replies
2K Views
Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Absalom Kibanda, akizungumza katika mdahalo wa “Kalamu za Waandishi Zinaandika Nini?” kupitia Stars TV, amesema kuwa Taifa zima lina hofu. Viongozi wana hofu...
1 Reactions
2 Replies
71 Views
Ukijaribu kuangalia triend ya Utalii hata Africa utagundua tunazidiwa hata na Botswana, achilia nchi kama South Africa au Moroco inayo Ongoza. Kuna Mama mmoja wa Kizungu anaishi Arusha na kaolewa...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Kazi ya tour guide siyo kitu cha kudanganyana. Hii ni kazi ya real Gs, wenye moyo wa chuma na roho ya simba. Hapa siyo sehemu ya watu wanaopenda comfort zone, this ain’t no 9 to 5 behind desk...
23 Reactions
67 Replies
4K Views
KUPOST MAFANIKIO YAKO MTANDAONI SIO TATIZO. JAMII INAHITAJI KUONA MAFANIKIO, SIO MALALAMIKO TUU Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi wameaminishwa kuwa kupost mafanikio yao ni kujisifu au...
8 Reactions
109 Replies
1K Views
Akizungumza katika mjadala wa Kalamu zao zinaandika nini kupitia Star TV leo Septemba 27, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amesema Vyombo vya Habari pamoja na Waandishi wa...
0 Reactions
3 Replies
50 Views
Kuna wale wadau wa Nyama choma kila weekend lazima mtu awe location flani hivi halafu pembeni kuna rhumba inasikika stress zote za wiki zinayeyuka . Wiki hii GPS inakusoma upo wapi ? Au wapi kuna...
3 Reactions
26 Replies
324 Views
Hayo ni maelekezo yangu kwako Wanu, najua unampenda sana mama yako, sasa mwambie afanye hivyo maramoja. Maelekezo haya ni AMRI.
0 Reactions
2 Replies
90 Views
Akizungumza katika mjadala wa Kalamu zao zinaandika nini kupitia Star TV leo Septemba 27, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amesema Watanzania wapoteza imani kwa Vyombo vya...
0 Reactions
2 Replies
50 Views
Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Absalom Kibanda, akizungumza katika mdahalo wa “Kalamu za Waandishi Zinaandika Nini?” kupitia Stars TV, amesema kuwa ikiwa utawala wa sheria utazingatiwa, vyombo...
0 Reactions
2 Replies
25 Views
Nimemsikiliza mjeda huyu, ndugu, na POLEPOLE. Kuna mahali ametaja Mdude ni miongoni mwa watu kadhaa wanaoshikiliwa mahali fulani. Itoshe kusema kama yupo hai basi Mungu wa Mbinguni ahimidiwe na...
8 Reactions
45 Replies
661 Views
Kitabu hiki kina hazina zilizofichika kwa wengi. Waswahili wanasema kizuri, kula na mwenzio. Leo napenda kukushirikisha baadhi ya faida nilizozipata baada ya kuanza kusoma Kitabu hiki na ku-apply...
21 Reactions
55 Replies
856 Views
Katika mitandao yote kwa hapa Tanzania ni JamiiForums tu ndio utakuta nyuzi na majadiliano magumu yenye kufikirisha bongo na hata kuumiza akili. Mitandao mingine yote ukiondoa wanaharakati...
7 Reactions
5 Replies
99 Views
Back
Top Bottom