Mr Kipe255
Member
- Sep 18, 2014
- 37
- 2
Kuna huu mfumo E malalamiko serikali umeanzisha vizuri yaani mwananchi au mtumishi mwenyewe anaweza kuutumia kulalamikia jambo lake ,upo katika Kila Wizara, Mkoa na Kila Taasisi ya Kiserikali. Lakini utabaki kutuma malalamiko yako huko unakaa zaidi ya miezi Sita hata kujibu sawa tumepokea changamoto yako tunaifanyia kazi hawajibu.
Kwa mawazo yangu naona ni njia nyingine ya watu kupiga Hela kwamba wanaenda mafunzo alafu wakirudi posho wamelipana wananchi tubaki na kero zetu au!!!!
Kwa mawazo yangu naona ni njia nyingine ya watu kupiga Hela kwamba wanaenda mafunzo alafu wakirudi posho wamelipana wananchi tubaki na kero zetu au!!!!