EWURA na TBS tunaomba mlifuatilie suala la ujazo wa gesi za kupikia, kwani limekuwa changamoto kwa watumiaji wengi.
Mitungi ya gesi imekuwa ikiisha haraka kuliko kawaida licha ya kuwa matumizi ya...
Wakazi wa Wananchi wa Songea, Mkoa wa Ruvuma, tuna changamoto kubwa katika upande wa uokoaji pindi ajali zinapotokea. Hasa katika ajali zinazohusisha malori, ikiwemo malori yanayosafirisha makaa...
Nyie sio dini,
Mlitengeenezewa category ya dini na institutions za kidunia baadae sana ila hakuna mahala Yesu, Petro na Paulo walisema wanaanzisha dini mpya au waliacha maagizo mji-organize kama...
With the Dar es Salaam Stock Exchange delivering 56.22% YTD returns in USD, Tanzania ranks among Africa’s strongest-performing equity markets in 2026.
A clear signal of growing investor...
Habari ya asubuhi wakuu!
Katika "tembea tembea" nimekutana na jamaa anadai kwamba mpaka Sasa amezika ndugu zake mia Moja.
Hivi Kuna Binadamu ambaye Yuko hai na amewahi kushuhudia misiba /...
Ukiwa ndani kwako ukasikia sauti kama ya gongo gongo hivi☠️ ujue Kuna gari hivi ambayo siyo ya kawaida imefika hapo mtaani
Na wewe vile ulivyo hulalagi bila ya Cha kuamkia!
Unajukuta unashindwa...
Nideclare interest mimi sio mtumishi
👇👇👇👇
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana watu wanaosema ukiota uko shule ya msingi eti umelogwa huu ni uongo mkubwa sana
Ukweli ukiota uko shule ya msingi...
DAR ES SALAAM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amewaagiza Makamishna wa Ardhi Wasaidizi katika mikoa yote nchini kufanya ukaguzi wa maeneo ya uwekezaji...
Inadaiwa Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Jonathan Mabihya, amefanya tukio jingine jipya na baya kwa kushirikiana na katibu Mwenezi wa wilaya CCM Manispaa ya moshi Athuman Mfuchu kuchukua...
KAMA HUTAKI MTOTO WAKO AITWE MTOTO HARAMU, ZAA KWA UTARATIBU HALALI. NJE YA HAPO HARAMU ITAITWA HARAMU TUU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Oooh! Mtoto hana makosa yoyote. Oooh! Mtoto hahusiki...
Kumekuwa na utaratibu wa baadhi ya wafanyabiashara, hususan wamiliki wa vituo vya mafuta na hata baadhi ya taasisi za kifedha, kukataa kupokea noti ambazo zimeunganishwa au kutengenezwa kwa...
Mimi ni mdau wa JamiiForums ninayeishi Zanzibar, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B. Nimekuwa mtumiaji wa mtandao wa Halotel kwa takribani miaka minane sasa, lakini kwa muda mrefu...
Timu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Sports Club) imeshiriki ufunguzi rasmi wa Michezo ya 40 ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) ulioambatana na...
Mtaji wa wahubiri wa imani yetu ya Kikristo huo. Ulimwengu wa kiroho, mambo ya kiroho.....blah blah blah. Swali nimeuliza countless times , ROHO NI NINI? An invisible matter? A wave energy? What...
Chipukizi wa kiume huko mashuleni na wao wamekubali harakati..Wanalinda migongo Yao kwa wivu mkubwa.
Mafanikio haya ya dudu baya yamfikie BICHWA KOMWE - pamoja na mshirika wake cocastic
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.