Tunaenda nusu ya October, El Nino hamna

Tunaenda nusu ya October, El Nino hamna

 
Ngoja tuone labda ni November.
Au maombi ya wachungaji yamefua dafu
Mvua ni mpaka Mwezi wa 12 mwishoni yaan ile Christmas ambayo mvua haipo mwaka huu Christmas kutakua na vua la kufa mtu sio mwezi huu wa 10 wala mwezi wa 11 mvua ni mwezi wa 12 ndio itapiga vibaya sema hawa jamaa wa TMA hawakupata mtu wa kuelezea vizuri wamebakia kuoteotea tu sababu hawaangalii records za miaka 3 hadi 4 nyuma kabla ya mwaka huu na pia mwaka unaofanana na mwaka huu ni upi na kulitokea nini hizo ni records za masuala ya hali ya hewa mvua kweli ipo ila sio mwezi huu wala mwezi ujao hadi mwezi wa 12 ndio itapiga km inataka kuua
 
Back
Top Bottom