Biashara ya Bond za magari iko vipi?

Biashara ya Bond za magari iko vipi?

Tunajifunza vitu vipya kila siku. Nimemsikia Padto Tony Kapola akitaja biashara zake. Vituo vya mafuta, ckearing and forwarding na bond za magari. Hii business ya bond za magari ndiyo ikoje?

View: https://youtube.com/shorts/ThetGsMbntQ?is=qB8c0yWpK7m3B-_h

Bonded warehouse. Wana kibali kutoka TRA kuhifadhi gari/mizigo ambazo hazijalipiwa ushuru kwa sababu moja au nyingine mpaka ikilipiwa ndio mteja apewe.
Mfano umeleta gari kutoka JP na huna hela ya ushuru ikikaa storage za kawaida utachajiwa hela nyingi sana ila Bonded warehouse inaweza kuwa $200-300 (last time I checked) kwa mwezi.
 
Ni warehouse za kampuni binafsi wakishirikiana na tra kwaajili ya magari ambayo hayajalipiwa ushuru,so muhusika anaomba mtu wa warehouse amuwekee gari huku akijipanga kulipa ushuru wa TRA,ila kama gari haijalipiwa ndani ya mwaka ina pigwa mnada na TRA.
 
Bonded warehouse. Wana kibali kutoka TRA kuhifadhi gari/mizigo ambazo hazijalipiwa ushuru kwa sababu moja au nyingine mpaka ikilipiwa ndio mteja apewe.
Mfano umeleta gari kutoka JP na huna hela ya ushuru ikikaa storage za kawaida utachajiwa hela nyingi sana ila Bonded warehouse inaweza kuwa $200-300 (last time I checked) kwa mwezi.
Yote yao au Kuna % ya TRA
 
Watakuwa wanalipa kodi tu kama biashara nyingine. Wanafanya storage badala ya gari yako kukaa bandarini (storage) muda mrefu bila matunzo wao wanaiweka katika mazingira bora na kwa bei nafuu kuliko ikikaa bandarini.
Kuna mwana alikua anasubiria msamaha wa Kodi. Imekata week 3 hivi. Walikua wanamruhusu ata kuicheki ila sio kuitoa.
 
Bonded warehouses hazifanywi na watu wa pesa za kiujitafuta, inatakiwa uwe heavy kweli kiuchumi
Tra hadi kwakuruhusu uwe na bond ni lazima ufanye financial security deposit angalau angalau ya bilion5.
Sasa mtu anapotoa bandarini gari yake kwanza utapigwa ushuru unaotakiwa, lets say ushuru ni milion 10 , na wewe huna, ndo unaipeleka kwa bond,,, system ya tra itaangalia bond ya unakopeleka gari then automatically itadeduct kodi stahili kutoka kwa mwenye bond, sasa biashara ya mwenye bond ni kukutunzia gari lako kwa makubaliano ya kumlipa yeye kila mwezi hadi utakapopata pesa ya kulipa kodi, ni biashara ya makubaliano ila usually kwa gari ndogo ni dola 70 kwa kila mwezi. Siku ukilipa kodi yako tra, na wao wananchia ile deposit waliyokata kwa mwenye bond.
 
Shukrani sana kwa elimu.
 
Niongeze swali. Ikitokea mtu ana yard. Ananunua magari Japan kwa ajili ya kuyauza nje ya nchi, huko Zambia, Malawi etc. Kabla hao wamalawi au wazambia hawajaja kununua, mwenye yard anayalipia kodi TRA?
 
Inaweza kukaa hata miezi kadhaa na ulikwama kabisa unaweza hata kuiuza huko mnunuzi akaenda kulipa kodi tra
Storage za bandarini ni balaa watu wamenadiwa sana magari bandarini
Kumbe kwa uwepo wa hizi bonded warehouse hamna haja ya mtu gari yake kuuziwa bandarini.
 
Bonded warehouse. Wana kibali kutoka TRA kuhifadhi gari/mizigo ambazo hazijalipiwa ushuru kwa sababu moja au nyingine mpaka ikilipiwa ndio mteja apewe.
Mfano umeleta gari kutoka JP na huna hela ya ushuru ikikaa storage za kawaida utachajiwa hela nyingi sana ila Bonded warehouse inaweza kuwa $200-300 (last time I checked) kwa mwezi.
Sasa ye kapola anapataje faida hapo?
 
Sasa ye kapola anapataje faida hapo?
Mfano wewe ukipeleka gari yako bond unamlipa mmiliki wa bond kiasi fulani kwa mwezi. Gari ikikaa zaidi ya mwezi unaendelea kumlipa.
TRA wanasubiri uwalipe ushuru tu uchukue gari.
 
Back
Top Bottom