Kisinia kisicholeta ugonjwa wa Kisukari

Kisinia kisicholeta ugonjwa wa Kisukari

Njia mojawapo rahisi ya kugundua kuwa una kisukari ni pale unakunywa maji mengi lakini baada ya kukaa mda mchache unapata haja ndogo kwa wingi na kiu kinakukaba haraka sana ukiona hivyo pamoja na kupata vidonda ambavyo haviponi kwa muda mrefu hiyo ni dalili mojawapo ya kuwa una ugonjwa wa kisukari
 
Njia nyingine rahis ni unapokojoa chini ardhini lakini mapovu ya mkojo yanachelewa kukauka.hii ni njia ya kugundua hatua za mwazo kuwa kisukari kinapiga hodi na unaweza kuchukua hatua kukizuia
 
Back
Top Bottom