Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu! Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii...
14 Reactions
91 Replies
1K Views
Kama mnavyojua shulen sio kusoma tu bali na michezo na fani zinginezo. Katika hobby zote, mdg wangu wa kike amechagua umiss na anaupenda sana. Likizo nilimkataza sana asiwe anafanya hayo mambo ya...
7 Reactions
70 Replies
626 Views
Shule ya Sekondari ya Mazinge (Mazinge Secondary School) ipo katika Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Shinyanga Mjini (Shinyanga MC), kwenye Kata ya Ndembezi. Ni shule ya serikali ya mchanganyiko...
6 Reactions
25 Replies
453 Views
Mu buheri wa afya wandugu zanguni? Haya mnajua kua siku zote ukweli huwa haufichiki? Leo nitoe stori fupi kidogo lakini yenye funzo. Nikiwa ninapata eilimu ya upili mkoa mmojawapo wenye baridi...
4 Reactions
16 Replies
212 Views
Kuna watu wenginw ni iconic sana hapa duniani na wanapofariki inakuwa ni majonzi makubwa kwa dunia nzima.., simple solution ni kwamba kama wakafanyiwa brain transplant na kuwekea ubongo mpya...
0 Reactions
62 Replies
4K Views
Teknolojia hii inayohusisha kupandikiza kifaa kidogo mfano wa shillingi ndani ya fuvu ambapo viwaya vyembamba mara laki ya unene wa nywele, huchomekwa nankuungwa na neurons za ubongo, itawezesha...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Nilitegemea binadamu baada ya kurekodi matukio ya maisha yake kwa muda wa miezi kadhaa basi ubongo wake ujae, lakini cha ajabu na cha kushangaza, mtu anafika hadi miaka 100 ila anakumbuka matukio...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa ripoti ya takwimu zinazoonesha kupokea maombi ya wananchi 36 walioomba utaratibu wa kuuza figo zao ili kukabiliana na ugumu wa maisha. Takwimu hiyo imetolewa...
9 Reactions
63 Replies
9K Views
Raia wa Zambia, ABRAHAM TAMBALAA aliyefika katika Manispaa ya Sumbawanga, Mkoa wa Rukwa, kuungana na Watanzania katika kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026, amewataka Watanzania kuendelea...
0 Reactions
2 Replies
73 Views
Anonymous
Naomba kujua nimefanya malipo ya TRA kupitia simu ila nimekatwa Shilingi 400 VAT yaani nakatwa kodi kwenye kulipa kodi? AU mimi ndiyo sielewi.
4 Reactions
3 Replies
478 Views
Anonymous
Hiki kivuko kinauwa watu kila wakati wa mvua zinazokuja na kunakuwa hakuna mawasiliano na upande wa pili na ndio upande ambao una mahitaji yote ya kibinadamu na kuna zaidi ya watu 6000. Serikali...
1 Reactions
2 Replies
174 Views
Juice ya miwa ni moja ya vinywaji vinavyopendwa na watu wengi, hasa inapokuwa ya baridi ikiwa imechanganywa na tangawizi na limao! Je, ni mazingira ya utengenezaji, usafi wa mashine, namna...
1 Reactions
14 Replies
259 Views
Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa...
24 Reactions
369 Replies
3K Views
MWANZA Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. CP. Salum Rashid Hamduni, amewaapisha wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba katika wilaya za Kwimba, Magu na Ilemela, huku akiwataka kutekeleza majukumu yao...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
guest-1793390367
Asilimia 90% ya showroom za magari wanafanya michezo ya kupunguza kilomita za magari na wabongo ndo wengi wanapigwa hapo kwa kudhani gari yenye kilomita chache ndio mpya kumbe wahuni washafanya...
10 Reactions
20 Replies
413 Views
Samahani kama nitawaudhi, lakini kwa uzoefu wangu na Watu mbali mbali ninaokutana nao Kuanzia mitaani, maofsini, ndani ya Nchi na nje ya Nchi. Wale watu ambao ni wanazi na washabiki wa Mpira wa...
10 Reactions
50 Replies
470 Views
Katika misele yangu Leo nikaona nipitie Sinza kitambaa cheupe kuchukuwa mazao sokoni. Sasa nikasema hapa sipigi eneo hili naenda nae mtaani Goba. Nikachek na zao la Kwanza show time 25k...
24 Reactions
169 Replies
3K Views
Salama wakuu? Kuna hii kitu inaitwa bullying ama Kwa lugha ya kiswahili tuite labda uonevu.hii kitu ni common sana na inachukuliwa kawaida na jamii yetu kiasi inaleta madhara lakini hatuyaoni na...
21 Reactions
125 Replies
1K Views
Katika jamii nyingi za Kiafrika, kuna imani kwamba mtu anapokufa, kuna namna fulani ya kuendelea kuwepo kiroho. Wengine huamini mizimu inaweza kuwasiliana na walio hai, kuleta maonyo au kuhusishwa...
0 Reactions
6 Replies
82 Views
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Rahmat Omobolanle Mohammed Balozi Mteule wa Nigeria hapa nchini, Ikulu...
1 Reactions
3 Replies
107 Views
Back
Top Bottom