Kwenu mnaoenda kugraduate mimi mzee wenu nimezunguka nchi mbalimbali nimeona mambo mengi mno nawaletea mambo niliyoyaona, kwako kijana unaeenda kumaliza chuo na nyie ambao bado mko chuoni...
TANESCO ni nini hiki mnatufanyia wakazi wa Mbezi Beach? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme, mnarudisha mnakata tena!
Ni mazoezi ya utayari kupokea El Nino, vile mtakavyokuwa mnachezea switch...
Habari za majukumu, wanajukwaa la JamiiForums.
Tunaomba mtupazie sauti sisi watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, kuhusu changamoto mbalimbali za kiutumishi na...
Kuna mjadala ambao nimekuwa nikifikiria kwa muda kuhusu mahusiano, ndoa, na namna ambavyo baadhi ya wanaume wanavyoangalia wanawake.
Mara nyingi vijana wa kiume huambiwa:
“Usioe single mother.”...
Sijui kama ni uchovu, presha ya maisha au mambo yamezidi tu…
Kwa siku hizi najikuta niko kimya sana. Kuna mambo napitia ambayo si rahisi kuyaeleza kwa mtu, na ukweli ni kwamba nimefika sehemu...
Tafadhali mheshimiwa sana rais Samia ulipata ushindi wakishindo wa 98% tafadhali tumia gari la wazi kuhutubia au kwenye viwanja vya wazi tukuone.
Kuna jambo natamani kunena nawe kwa vitendo...
kwamba nina miaka 40 sina gari wala nyumba lakini leo chuo kikuu cha mzumbe nimehitimu shahada yangu ya tatu na kutunukiwa PHD....je haya sio mafanikio...
Maisha yanaenda kasi sana
Mara nyingi huona baadhi ya mabosi kudate na vibinti kwenye Ofisi
Unaweza kudhani ni bahati mbaya ila wengi wanafanya kwa agenda maalum
1.Hupata taarifa za pamoja...
Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio.
Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani...
Wanaume watatu wamekutwa katika chumba kimoja eneo la Msasani, Kitongoji cha Oloresho, Kata ya Moivo, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, katika mazingira yaliyoibua mashaka miongoni mwa Wananchi...
Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi Mheshimiwa Haji Fundi Haji ametoa rai kwa wafanyabiashara na wawekezaji kuwekeza kwenye Kata ya Bondeni na kwamba Kata hiyo ni salama .
Ametoa rai hiyo...
Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki dunia leo, Septemba 21, 2026.
Taarifa ya kifo cha Bi.Fatma imetangazwa rasmi na Makamu...
Wakuu kwema Nimeona CRDB wamekuja na Kitu kinaitwa Kopa ngombe Ulipe maziwa ambacho kiko run na CRDB foundation, Millard ayo ameenda Kufanya Covering ya Hio promotion
Ajabu ni kuwa issue Hii...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewakabidhi wananchi hatimiliki leo tarehe 25 Septemba, 2026 jijini Dodoma wakati wa Kliniki ya Ardhi inayoendelea mkoani...
Nimeshangaa mbunge wa gairo kukopesha pikipiki 300 kwa vijana jimboni kwake, kwahiyo pikipiki ndio imekuwa ajira rasmi? Mbona kama kwa upeo wangu ni kama tunaenda kuliangamiza taifa?
Mwaka jana...
Leo tuzungunzie Gonjwa la UKIMWI. Kuwa mvumilivu kusoma, pengine ukapata Dawa ya UKIMWI katika Makala yangu!
Imenibidi nikimbie Hadi Google, nikafanye Utafiti wangu Juu ya Asili ya Ugonjwa Huu...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameitaka Wizara ya Viwanda na Biashara kukaa meza moja na wazalishaji wa saruji nchini ili kuweka mikakati ya haraka itakayohakikisha bidhaa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.