Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Majibu ya AI kuhusu mapenzi ya jinsia moja: Kulingana na makubaliano makubwa ya kisayansi na mashirika ya afya duniani kama vile Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), mwelekeo wa kijinsia (pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
120 Views
MOSHI, KILIMANJARO. Ni majira ya saa moja na nusu usiku wa Ijumaa. Katika utulivu wa usiku, eneo la barabara ya Mweka lilikuwa likipokea wageni ambao wananchi hawakuwatarajia — si watu, bali...
0 Reactions
1 Replies
74 Views
Serikali inahimiza utoaji wa chakula shuleni ili kuhakikisha watoto wanapata haki yao ya kupata chakula. Lakini kuna baadhi ya walimu na kamati za shule ambao wanashindwa kuratibu jambo hili kwa...
2 Reactions
2 Replies
66 Views
Wakazi na wadau wa Jiji la Dodoma, kuna jambo ambalo kwa kweli linahitaji majibu na hatua za haraka kutoka kwa mamlaka husika. Ukipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma, ikiwemo NSSF, Chuo...
0 Reactions
1 Replies
95 Views
Nakuheshimu sana kaka Robert kwa sbb wewe ni mmoja wa watu wachache mliobakia JF wenye kuandika nyuzi zenye kuiheshimisha JF ila nimelog in kwa lengo moja tu,KUPINGA BANDIKO LAKO HILI. PINGAMIZI...
76 Reactions
456 Replies
6K Views
NIMESHANGAZWA NA HILI UBARIKIO WA MTOTO BAJETI MILIONI 25 KAUNDA NA KAMATI Sema wa Tz kuna namna sijui ni kulogwa au tunachukuliana poa Kuna mshua mmoja jana alinialika ana kikao cha maandalizi...
5 Reactions
29 Replies
341 Views
  • Redirect
EKARI 11 zinatazama lami zipo chanika pugu matumiz makaz na biashara Price bilion 8 🇹🇿Call/WhatsApp +355758844717 #viralvideo #tiktokviral #viral_video_tiktok_treding #realestate #dalali
1 Reactions
– Replies
– Views
Naibu Waziri wa Fedha, Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) ameiagiza Menejiment ya Hazina Saccos kuhakikisha fedha za wanachama zinalindwa kwa kiwango cha juu, huku akiwataka kuimarisha mifumo ya...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Good morning Tanganyika! Nimeshindwa kuvumilia baada ya kuona ongezeko la mada za kupinga kuoa, ndoa na maisha ya ndoa! Jamii Forums ni kama kioo cha Taifa kwasasa. Think tank kubwa ya nchi...
79 Reactions
347 Replies
15K Views
UCHAWI KATIKA NYUMBA ZA KUPANGA. Umewahi ishi kwenye nyumba yenye mauza uza ya kutisha kiasi usilale usiku. Au umewahi kaa nyumba yenye skendo za uchawi yaaani wenye nyumba au wapangaji wenzio...
8 Reactions
100 Replies
8K Views
Wakuu, hebu tuwekane sawa kidogo. Nimeona video moja mtandaoni huko facebook naamini ilikuwa ya mwishoni mwa mwezi wa nane maana sijatumia facebook muda mrefu kidogo.mtoto mdogo wa kama miaka...
2 Reactions
10 Replies
246 Views
Ni nani mtunzi wa wimbo wa EAC? PICHANI: Mwl. Samson Kibaso enzi za uhai wake. Kuanzia 1999 hadi 2010 EAC ilikua ikitafuta wimbo rasmi wa Jumuiya hiyo. Aliyekua Katibu mkuu, Balozi Juma...
18 Reactions
101 Replies
18K Views
Kwa wanajamii wote wa hii platform, binafsi nimekuwa nikiingia na kusoma threads mbalimbali zinazofikishwa kwenye hili jukwaa. Kwa kifupi sikuwa active member mpaka nilipoamua kujiunga rasmi kwa...
51 Reactions
287 Replies
7K Views
1. Uwe Mwanachama wa CCM 2. Usilale kitandani 3. Usitumie hela ili zikae 4. Usitoke ndani ya Nyumba yako 5. Lazima uoe mwanamke uliyesoma naye shule moja 6. Lazima ugeuke kuwa chura rais...
5 Reactions
49 Replies
1K Views
Historia imeshatengenezwa na haiwezi kufutika vizazi na vizazi . Jina la rais Samia litabaki jina la kukumbukwa nchini Tanzania kama rais wa kwanza mwanamke hapa nchini . Sasa ili kuenzi hilo...
2 Reactions
36 Replies
338 Views
Maisha yanakwenda kasi sana, huku joto kali sana na bado tunapewa taarifa kuwa kuna El Ninò inakuja, yaani purukushani kibao. Kila mtu anapitia changamoto za maisha kwa namna yake, wapo...
2 Reactions
6 Replies
68 Views
Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi? Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town. Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi...
34 Reactions
184 Replies
2K Views
1. Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe 2. Dada aliyejitolea kumpa Dudubaya Shilingi Milioni Tatu kama si Tano kila Mwezi kutokana na Kumpenda 3. Matajiri akina Jayrutty kuahidi Kumchangia faini yake...
1 Reactions
16 Replies
219 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Wilayani Ukerewe kumekuwepo na wimbi kubwa na wizi wa kuvunja maduka na vibaka mitaani hasa usiku. Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la watu kuvunja maduka na...
1 Reactions
1 Replies
79 Views
Back
Top Bottom