KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Masai wa Town

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
6,816
Reaction score
24,786
Nilipoteza ajira sekta binafsi(kwa kupewa end of contract letter)November mwaka jana. March mwaka huu nikafungua madai ya mafao yangu NSSF.

Wakati bado ombi langu linafanyiwa kazi, nikapata kazi serikalini na nikaungwa PSSSF.

Baada ya kupokea mshahara wa mwezi mmoja serikalini, Nikapigiwa simu na watu wa NSSF nikaambiwa hawataendelea kuchakata ombi la mafao yangu NSSF kwa sababu nimeshaajiriwa serikalini hivyo nisubiri nifikishe mika 60 ndipo nikafungue madai upya.

Naomba Msaada wa Kisheria
 
inauma sana aisee
Kweli maana hii ni mifuko miwili tofauti.ukienda nssf asubuhi uwa Wana kama semina.

Hoja Yao wanapenda kushauri watu wasipende kuchukua Hela zao kabla ya kustaafu.

Sasa Mimi huwa najiuliza ina maana hawa nssf hawajui kuwa mfuko wao ni watu wa sekta binafsi? Kazi ambazo muda wowote unaachishwa kazi tofauti na wenzetu wa PSSSF walioajiriwa ajira za kudumu?

Nimefukuzwa kazi, nina miaka 36 yaani nisitoe Hela mpaka nije kuzeeka?!

sasa hapa kati naishi vp wakati kazi zenyewe waajiri wengi hawatoi nssf?.
 
Hakuna msaada wa kisheria kwenye hii ishu.

Nina ishu kama yako. Niliambiwa labda kile kipindi cha kusubiri kuripoti ndiyo ningekitumia kufuatilia mafao.

Hii ishu pia walinijibu hawawezi kuunganisha mafao ya nssf na kuyaleta pssf ni lazima nisubiri mpaka nifikishe miaka 60.

Hii ilisababisha niseme mgombea urais atayeahidi watu tutachukua mafao yetu kwa kupindua hizi sera za hovyo lazima alambe kura yangu.
 
Kweli maana hii ni mifuko miwili tofauti.ukienda nssf asubuhi uwa Wana kama semina .hoja Yao wanapenda kushauri watu wasipende kuchukua Hela zao kabla ya kustaafu.sasa Mimi uwa najiuliza ina maana hawa nssf hawajui kuwa mfuko wao ni watu wa sekta binafsi ?kazi ambazo muda wowote unaachishwa kazi tofauti na wenzetu wa psssf walioajiriwa ajira za kudumu?.nimefukuzwa kazi na miaka 36 yaani nisitoe Hela mpaka nije kuzeeka.sasa hapa kati naishi vp wakati kazi zenyewe waajiri wengi hawatoi nssf?.
System haipo kwaajili ya kusaidia maskini bali kuwaua
 
Kweli maana hii ni mifuko miwili tofauti.ukienda nssf asubuhi uwa Wana kama semina.

Hoja Yao wanapenda kushauri watu wasipende kuchukua Hela zao kabla ya kustaafu.

Sasa Mimi huwa najiuliza ina maana hawa nssf hawajui kuwa mfuko wao ni watu wa sekta binafsi? Kazi ambazo muda wowote unaachishwa kazi tofauti na wenzetu wa PSSSF walioajiriwa ajira za kudumu?

Nimefukuzwa kazi, nina miaka 36 yaani nisitoe Hela mpaka nije kuzeeka?!

sasa hapa kati naishi vp wakati kazi zenyewe waajiri wengi hawatoi nssf?.
Ukifukuzwa kazi au end of contract hata uwe na umri gani sera na sheria yao inakuruhusu kutoa.

Kisha inakuja kuzingatia una elimu gani.

Kama elimu yako ni kuanzia dip hutoi pesa yote. Unaanza kupewa kwa mafungu, na nyingine unaitoa ukifika miaka 60.

Ni ishu ambayo haimake sense hata kidogo
 
Hakuna msaada wa kisheria kwenye hii ishu.

Nina ishu kama yako. Niliambiwa labda kile kipindi cha kusubiri kuripoti ndiyo ningekitumia kufuatilia mafao.

Hii ishu pia walinijibu hawawezi kuunganisha mafao ya nssf na kuyaleta pssf ni lazima nisubiri mpaka nifikishe miaka 60.

Hii ilisababisha niseme mgombea urais atayeahidi watu tutachukua mafao yetu kwa kupindua hizi sera za hovyo lazima alambe kura yangu.
Wasiwasi wangu ni kwamba, hata baada ya kufikisha miaka 60 watakuja na stori nyingine kuwa "ulishachukulia mafao yako" au "hatukuoni kwenye mfumo"
 
Hakuna msaada wa kisheria kwenye hii ishu.

Nina ishu kama yako. Niliambiwa labda kile kipindi cha kusubiri kuripoti ndiyo ningekitumia kufuatilia mafao.

Hii ishu pia walinijibu hawawezi kuunganisha mafao ya nssf na kuyaleta pssf ni lazima nisubiri mpaka nifikishe miaka 60.

Hii ilisababisha niseme mgombea urais atayeahidi watu tutachukua mafao yetu kwa kupindua hizi sera za hovyo lazima alambe kura yangu.
Sasa kama hawawezi kuunganisha mifuko .hyo Hela yako ya nssf si Bora wakupe ina baki inafanya nini?huu utapeli ujue.kuunganisha hamuwezi basi nipeni tuachane hamtaki.yaan daah
 
Nilipoteza ajira sekta binafsi(kwa kupewa end of contract letter)November mwaka jana. March mwaka huu nikafungua madai ya mafao yangu NSSF.

Wakati bado ombi langu linafanyiwa kazi, nikapata kazi serikalini na nikaungwa PSSSF.

Baada ya kupokea mshahara wa mwezi mmoja serikalini, Nikapigiwa simu na watu wa NSSF nikaambiwa hawataendelea kuchakata ombi la mafao yangu NSSF kwa sababu nimeshaajiriwa serikalini hivyo nisubiri nifikishe mika 60 ndipo nikafungue madai upya.

Naomba Msaada wa Kisheria
Huo ndio utaratibu Mzee, Kazi ya Jpm
 
Back
Top Bottom