Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando
Joseph Zablon
AGIZO la Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mashirika ya Umma (POAC), limegonga mwamba baada ya...
Zaidi ya shillingi za TZ billion tatu zilizotengwa kwa ajili ya kujenga machinjio ya kisasa jijini Dar yameyeyuka pasipo majibu mara baada ya kamati ya bunge ya serikali za mitaa mh Agustine Mrema...
Vimini, milegezo marufuku CBE
Imeandikwa na Aron Msigwa, Maelezo; Tarehe: 28th March 2012 @ 15:30
KAMPENI ya kupinga mavazi yasiyo na heshima imeingia katika sura mpya baada ya uongozi...
Wachumi waipiga kombora Serikali mbele ya Kikwete
NI WA KUTOKA CHINA NA VIETNAM, WASHANGAA MFUMUKO WA BEI WASEMA TATIZO NI VIONGOZI KUWA NA MANENO MENGI KULIKO VITENDO
Send to a friend...
Nadhani wengi tutakuwa tunakubaliana kwamba Kampeni za Kumpata Rais wa Taifa letu katika uchaguzi wa mwana 2015 zimepamba moto tayari.
Napendekeza tuanze kuangalia na Chaguzi za Mbele hasa...
SHAHIDI wa tano upande wa utetezi katika kesi ya uchaguzi mkuu wa ubunge katika Jimbo la Segerea jijini Dar es Salaam, Protas Tarimo amekiri kuwa sheria ya uchaguzi ilikiukwa.
Shahidi huyo...
Jamani kwa aliyenaufahamu kuhusu pugu juu ya vigezo hivi naomba aniambie;
¤sehemu ilipo.mkoa,wilaya,kata,na mtaa
¤sare wanazovaa.
¤na lolote ambalo ungependa kunijulisha kuhusu shule hii...
Wakuu naomba msaada kuhusu shule ya bihawana sec skul.
Inapatikana wapi?
Mkoa,wilaya, kata na mtaa?
Je ipo near na makinda?
Sare wanazo vaa?
Walimu wapo lakini?
Shukrani!
Hivi kweli inaingia katika akili ya wtz
Tanesco wanapodai kua mgao wa umeme utaanza upya?
Tumeme ulipanda bei Tanesco wakidai ghalama za uendeshaji zimepanda
Inakuaje sasa wanashindwa kuyalipa...
kufuatia mwenendo wa kesi kumwendea vibaya Dr. Milton Makongoro Mahanga, hali yake ya afya imeyumba na kumpa wakati mgumu kuanza kujitetea mahakamani, hadi hivi sasa kesi inaelekea kuwa njema kwa...
Wakili nguli jijini Arusha,Mediani mwale amezidi kuwalalamikia wanasheria wa serikali wakiwemo maofisa wa polisi wanaomfuatafuata katika gereza la kisongo akidai kuwa wanataka kumuu,kwani...
Skendo ya ngono inaitikisa Kanisa la Katoliki, Parokia ya Mburahati lililopo wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam na kusababisha mgawanyiko mkubwa kwa waumini.Uchunguzi uliofanywa na mwandishi...
Baada ya tahariri ya leo ya gazeti la serekali la habari leo kuchapishwa. viongozi na vyombo vya habari vya kiislam vimekuja juu.
Leo asibuhi karibu ya vyombo vyote vya habari vya kiislam...
Kwa wale wenzetu waliokuwa na kiu ya kuisikiliaza radio namba moja Tanzania Radio Free Africa sasa inapatikana kwa mtandao wa intaneti kwa kubonyeza hapa Radio Free Africa Tanzania | RFA Live...
unalijua hili
gari hizi si kwamba ziko garage la hasha ziko kwenye parking ya serikali tena wizarani
lakini kama ujui
gari hizi ziko kwenye hesabu za mafuta kila siku pamoja na kuonyesha hali yake...
Katika hali ya kushangaza polisi kituo cha Chang'ombe wameanza kuuza hisa kwa wahalifu ili nao wawe sehemu ya jeshi hilo.
Hii iko hivi, kuna watu wanatengeneza document feki za kuibia mizigo...