Watanzania ndugu zangu, hebu tufikiri kwa makini juu ya hatma yetu. Mambo mengi yanatuzidia sasa mfumuko wa bei, afya, elimu duni, miundombinu mibovu, maji, ardhi, umeme, na mengine. Ila kwa leo...
Yani ni serikali legelege ata huduma zake ni legelege..Watanzania walizitilia shaka hizi noti mpya za awamu ya nne baadae akatokea gavana benard ndulu na mzungu wake kuwaaminisha kua ndowao...
Rehema Matowo, Moshi
POLISI mkoani Kilimanjaro imemfukuza kazi askari wake G 8415 PC Deogratius Chamwa (22), aliyeingia disko na misokoto ya bangi na kumpiga mlinzi wa ukumbi wa Pub Alberto...
Habari za uhakika zinathibitisha kuwa Kaimu Mhariri wa Kampuni ya
magazeti ya serikali yaani Tanzania Standard Newspapers Ltd,
inayochapisha magazeti ya Daily News, Sunday News, Habari Leo na...
SERIKALI ya Zanzibar imekiri kuwapo kwa upendeleo na kujuana katika suala la ajira kwenye wizara mbali mbali za serikali jambo linalolazimu kufanyia marekebisho sheria zake za utumishi.
Hayo...
Salamu wana Jf. Ningependa niwajuze kidogo kuhusu ili vazi lilivyoshuka uthamani hasa maeneo ambako ndio ngome za waislam.nimebahatika kutembea sehemu kubwa ya Tz kwa kazi zangu za minara ya cm...
Wanabodi,
Asubuhi hii FFU wamewatawanya wamachinga katika maeneo ya Ubungo mataa, Ubungo maji, stendi ya mkoa na wale wanaofanya biashara katika maeneo ya gridi ya taifa.
Mojawapo ya maeneo...
Nimesikia asubuhi hii Clouds FM wakirudia sehemu ya hotuba ya matusi ya Lusinde redioni huku watangazaji wakishangilia. Jee hii inamaanisha nini katika jamii? Maadili ya utangazaji yanasemaje...
Ajali ya moto imetokea leo soko la samaki feri, umeteketeza upande ama mabanda kadhaa!
Wananchi wamejitahidi kuuzima ingawa inasemakana ukoaji wa mali haukufanikiwa sana.
Kikosi cha zima moto...
Leo nimetembelea maeneo ya kariakoo na posta angalau kwa siku ya leo kumeonekana kuwa safi, hasa pale kariakoo , packing zote zilikuwa safi, hata pale stendi ya kawe na Tegeta.
Nasema kwamba kama...
Akifunga Semina Gaudencia Kabaka amesema wazee wote irrespective of whether walikuwa waajiriwa au la kulipwa pension ili kuweza kujikimu..
My Take: Afadhali kuliko mashirika hayo kujenga majengo...
Kitendo chaa polisi kusimamia kikamilifu zoezi la kujeruhi wawakilishi wa wananchi (wabunge wa Mwanza) ni nini kama si kudhihirisha uhuni wao? Hii ni sawa na kusema serikali ni wahuni maana...
baada ya kushindwa arumeru mashariki huku wale waliochangia ccm kushindwa uchaguzi huu ni walewale walioshutumiwa kuwa ni magamba sasa tuna kila sababu ya kuvua gamba na sio kujiparua parua...
Jana baada ya kutangazwa ushindi wa ubunge ,Arumeru pamoja na udiwani nimeshuhudia maadamano na bendera za chadema zikipita kwa kusheherekea ushindi huo maeneo ya singida,tabora eneo la iguna na...
Kuna waziri mmoja anashirikiana na matajiri fulani na wafanyakazi wa ardhi wanachukuwa ardhi na kuuza kwa vigogo na wageni.
Anauza heka moja dola 50,000 - hatari tupu. Hizo hela zinaingia...
Nimeona clip ya Lusinde akiporomosha kampeni za mijitusi huko Arumeru kupitia You Tube, lakini pia nilisikiliza nyimbo ya Sugu kupitia You Tube, ki ukweli hawa jamaa waliporomosha Mijitusi lakini...