Dah, Nchi imekwisha. Rais mwondoe huyu haraka kulinda Amani Arusha

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,930
3,227
Kuna waziri mmoja anashirikiana na matajiri fulani na wafanyakazi wa ardhi wanachukuwa ardhi na kuuza kwa vigogo na wageni.

Anauza heka moja dola 50,000 - hatari tupu. Hizo hela zinaingia manispaa? je ardhi iliyopimwa na manispaa ni shs ngapi?

Takukuru fanyeni uchunguzi wenu, msiniulize source.

Au wanaharakati wa haki Ardhi wafanye uchunguzi waje na majibu hapa. Nimewang'ata sikio. shtuka, fuatilia

Wenyeji au watanzania wengine walio Arusha wakitaka ardhi ni ngumu sana.

Ni mbunge wa jimbo sawa na Thithiem walilopoteza jana -Ar Magh
 
Usikute anatekeleza ILANI ya chama chake. Hapo ni wananchi kupaza sauti na kuchukua hatua mapema iwezekanavyo. NCHI NI WANANCHI.
 
MTAJE jina usimuonee aibu
Kuna waziri mmoja anashirikiana na matajiri fulani na wafanyakazi wa ardhi wanachukuwa ardhi na kuuza kwa vigogo na wageni.

Anauza heka moja dola 50,000 - hatari tupu. Hizo hela zinaingia manispaa? je ardhi iliyopimwa na manispaa ni shs ngapi?

Takukuru fanyeni uchunguzi wenu, msiniulize source.

Au wanaharakati wa haki Ardhi wafanye uchunguzi waje na majibu hapa. Nimewang'ata sikio. shtuka, fuatilia

Wenyeji au watanzania wengine walio Arusha wakitaka ardhi ni ngumu sana.

Ni mbunge wa jimbo sawa na Thithiem walilopoteza jana -Ar Magh
 
Ameshatajwa hapo juu na member mwingine (apolicaripto)- Soma threads. wenzako wamechangia
 
huyu si ndo naibu waziri wa kitengo hicho! Yaweza kuwa kweli!
 
Tupe jina tuanze naye !!!! ****-kuru haona kitu ndugu yangu ni wale wale kile kiini macho..... sasa hivi tunaingia wenyewe front!!!
 
Kuna waziri mmoja anashirikiana na matajiri fulani na wafanyakazi wa ardhi wanachukuwa ardhi na kuuza kwa vigogo na wageni.

Anauza heka moja dola 50,000 - hatari tupu. Hizo hela zinaingia manispaa? je ardhi iliyopimwa na manispaa ni shs ngapi?

Takukuru fanyeni uchunguzi wenu, msiniulize source.

Au wanaharakati wa haki Ardhi wafanye uchunguzi waje na majibu hapa. Nimewang'ata sikio. shtuka, fuatilia

Wenyeji au watanzania wengine walio Arusha wakitaka ardhi ni ngumu sana.

Ni mbunge wa jimbo sawa na Thithiem walilopoteza jana -Ar Magh

mtaje jina acha unafiki
 
mtaje jina acha unafiki

Acha ulegevu wa akili wewe, mpaka utajiwe jina? Akili yako iko kwenye Masaburi nini? Mtu amekutajia mpaka jimbo wewe huendi kichwani tu? Akili ni nywele! Nahisi wewe una kipara kama cha MkaaHapa!
 
Nchi hii hatuna viongozi, tuna mafisadi, tujitokeze kwenye mchakato wa kupata katiba mpya ili tuweze kupunguza madaraka makubwa ya rais yasiyo na tija kwa nchi hii. Wanapeana vyeo ili wagawane nchi yetu.
 
Back
Top Bottom