Mzee Mengi auliza Swali... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Mengi auliza Swali...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Apr 4, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  RegMengi
  Chenji ya rada imetolewa! Hakuna yeyote aliyechukuliwa hatua! Eti hakuna ushahidi. Je vita dhidi ya rushwa ni usanii ama...?

  chanzo tweeter
   
 2. PENDING'ULA

  PENDING'ULA JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijawahi kumsikia Jaji aliejihukumu mwenyewe kunyongwa hadi kufa!
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280

  Huyo Mzee ni Msanii tu na wala hajulikani yupo upande gani,
  maana atajifanya yupo upande wa wanyonge na mwisho wa siku anaisupport CCM kwa nguvu zote (ITV na Kampeni za Arumeru)
   
 4. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Amekuuliza swali,unachotakiwa ni kujibu kama yes/no
   
 5. BROO

  BROO JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ivi mzee wa vijisenti yupo!!!!!!
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hii itakua habari ya kwanza ITV saa mbili usiku.
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Huyu mzee machache haeleweki ka nyawawa
   
 8. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mengi ni kada maarufu sana wa chama cha magamba, akawaulize viongozi wake wa juu wa chama watamsaidia majibu. Ila asisahau pia kwamba ufisadi ni kati ya sera muhimu za chama chake.
   
 9. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,845
  Likes Received: 2,774
  Trophy Points: 280
  Halafu itatumia dak. kama 20 hivi na anachoongea unakuta 3/4 ni kurudiarudia tu! Hana maana huyo.
   
 10. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Maswali kama haya ni valid kuuliza, ni necessary kuuliza,but one should not voice the thought.
   
 11. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  watu mbona hamjibu swali?????????????
   
 12. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ile Ph.D alisharudishiwa na TCU?
   
 13. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Anauliza majibu? Naye anapenda kujipendekeza kwa mafisadi
   
 14. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Akamuulize rafiki yake JK na atapata majibu maana JK anawajua wote waliochukua hizo hela na hata waliorudisha hela za EPA na akawasamehe bila kuwafungulia mashitaka.
   
Loading...