huu ndio muda muafaka wa kuvua gamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huu ndio muda muafaka wa kuvua gamba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jingalao, Apr 4, 2012.

 1. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,439
  Likes Received: 10,645
  Trophy Points: 280
  baada ya kushindwa arumeru mashariki huku wale waliochangia ccm kushindwa uchaguzi huu ni walewale walioshutumiwa kuwa ni magamba sasa tuna kila sababu ya kuvua gamba na sio kujiparua parua vigamba kama samaki.

  Nia ilishakuwepo.

  Sababu imeshapatikana

  Kilichobaki ni uwezo ambao naamini tunao.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
   
Loading...