wizaga
Member
- Nov 27, 2011
- 70
- 8
Jana baada ya kutangazwa ushindi wa ubunge ,Arumeru pamoja na udiwani nimeshuhudia maadamano na bendera za chadema zikipita kwa kusheherekea ushindi huo maeneo ya singida,tabora eneo la iguna na nzega pamoja na shinyang na mwanza.hii inaonesha sehemu nyingi ya nchi wamekubali chadema mkombozi wa wanyonge.
hebu ongeza sehemu nyingine waliko shehelekea kwa maandamano na kupeperusha bendera ya chadema
hebu ongeza sehemu nyingine waliko shehelekea kwa maandamano na kupeperusha bendera ya chadema