Wanabodi,
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA leo imetoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa digital na kueleza kuwa huna haja ya kuwa na king'amuzi zaidi ya kimoja na wenye TV za migongo wasiwe na...
Kuna rafiki yangu mmoja kanipigia simu na kusema kuwa mgodi wa Geita umevamiwa na watu wanaoiba mawe yenye dhahabu maarufu kama magwangala, wamefunga baadhi ya barabara za ndani ya mgodi kwa...
Kumbukumbu zangu zasema kuwa shindano lile la Big Brother lakiuka maadili ya mtanzania baada ya shindano/mashindano kadhaa yaliyopita kuwa na kasoro fulani fulani... Au ndio mpaka baada ya miaka...
Najua this is not the right place but please,kama kuna mtu yeyote(arusha) ataona mtoto ndogo wa miaka 2 -3,wa kiume,mweupe.please please pm me.my friend amepoteza mtoto wake tokea saturday
Hii Engineers Registration Board nao wamezidi njaa, Wamekua wakiwakata Trainee Engineers ambao wanachelewa kusubmit Quarter Report on time na kuwapa fedha nusu na hata wanapowasilisha Report Ile...
Januari anasema hapasw kulaumiwa kuhusu mwenendo wa kesi,anasema alipigiwa sim na Lema kuwa Arumeru watashnda,
Januari akamwambia kuwa kwenye kesi yake(LEMA) hatatoka,so Januari anasema yeye...
IDADI kubwa ya wagonjwa
waliokwenda kutafuta tiba
kwa Mchungaji mstaafu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT), Ambilikile
Mwaisapile, Loliondo wamepoteza maisha. Wizara ya Afya...
Tue, Apr 3rd, 2012
Tanzania | Wed, April 4th 2012
The Isles Minister for Water, Energy, Lands, Construction and Human Settlements Mr Ali Juma Shamuhuna
The Agakhan Foundation has stopped...
Kipindi cha jahazi kipo hewani sasa hivi leo 04/04/2012, wamesema baadae Mh. L. Lusinde ataongea juu ya kutukana mitusi akiwa Arumeru.​
sijui atasema nini leo kujitetea maana ni aibu
mlio...
Wakati akitoa salamu za shukrani kwa wapiga kura wake kule Leganga jana, Mbunge mteule alisema hivi, nanukuu kutoka gazeti Mwananchi toleo la leo(No 04298) uk wa 5. "....Walisema msinichague eti...
Njemba moja hiyo alikamatwa siku kadhaa zilizopita alikua ana kiwanda cha kutengeneza silaa za moto aina ya gobole ambazo baadhi alizotengeneza zilishatumika kwenye ujambazi sehemu kadha wa...
Nilipita majuzi kuchukua hela atm wapendwa
wakati nikiwa kwenye folen nikakuta kaka mmoja anasubiri na yeye huku akihimiza watu
jamani nimetoa hela jana nikaomba lakimbili zikatoka 160,000 na...
Kwanza nianze kuwapongeza ndugu zetu wachaga kwa bidii ya kufanya maendeleo na hii ndio sera yao, kwa kweli wamejitahidi sana, ukiwa huna maendeleo kwa wachaga utachekwa sana! hivyo imepelekea...
Kila kukicha utasikia wamachinga wanakwaruzana na serikali kutokana na kufanyia biashara maeneo ambayo hayaruhusiwi. Hii inatokeaje wakati kuna watu wameajiriwa kwa ajili ya kazi hiyo? Kama wapo...
huyu mheshimiwa wa tarime ni mmoja kati ya watu wanao ua elimu hapa tanzania, haiwezakani asomee kiswahili halafu atunge hadi vitabu vya sayansi. Jamaa kwake hamna asicho weza na anaweza kuwa...
Wakuu kama kuna mwanachama humu aliyealikwa kwenye kipindi cha malumbano ya hoja juu ya Tanzania kuingia kwenye mfumo wa digitali tafadhali naomba upitie hapa ili tukupe hoja muhimu utakazozitoa...
Jamphel Yeshi akikimbia mbele ya watu huku akiwa amejichoma moto, alifariki dunia baadae
Wanaume wawili toka nchini Tibet wamejichoma moto kuupinga utawala wa China kwenye nchi hiyo, mmoja wao...
hellow wakuu wote wa jf naomba nichukue muda huu kuwaaga kwa muda wanajf wote wa dar kwani nitakuwa songea kwetu kwa muda wa miezi kama 3 hivi.ila jf kama kawaida,mtaniagia kwa Invisible (Robot)...