Wafanyabiashara wa maduka yanayozunguka soko kuu Makambako, leo wameandamana na kuziba barabara zote kuu za songea, mbeya na Iringa. Tatizo ni walinzi waliowaweka wao wenyewe kwa ajili ya kulinda...
Iwapo mtu amefia nyumbani kwake na mwili wake ukabidi kwenda kuhifadhiwa hospitalini, kwa nini haubebwi na ambulance?
Na iwapo utabebwa na kwa njia nyingine yoyote, kwa nini mwili hawaufuniki...
Kama ni njaa basi kwa waandishi hawa imevuka kiwango,hii imetokea katika kampeni za uchaguzi zilizomalizika Arumeru mashariki,ambapo waandishi wa habari wa kike wamethubutu hata kujirahisi kimwili...
Maoni ya katuni
Jana katika safu hii tuliandika tahariri mbili, moja ilibeba kichwa cha habari kinachosema Chonde chonde wachuuzi ondokeni Ubungo Tanesco tuliwalenga wachuuzi ambao wametanda...
Hajabu kuona watawala wetu tuliowaamini wanauza ardhi yetu kwa wageni kwa bei ya kutupa bila kujali maslahi ya wazawa. Je haya ndio mafanikio ya miaka 50 ya uhuru?
Leo hii nimekutana na kitu ambacho nimeshindwa kuamini wakati nilikuwapo eneo la tukio, nilimtembea jamaa yangu nyumbani kwake baada ya lunch mkewe akapigiwa simu na mama yake mzazi, mama alikuwa...
kwa nini uwanja wa ndege wa kigoma hauna lami?kuweka lami ni jambo la anasa?
inawezekena huhusiki ila sijaona mtu mwingine wa kuuliza hili swali la kuhusu kigoma
Ni dhahiri sasa zile kazi za ndanina nje.(house boy ,house girl, bar maids.na bila kusahau zile kazi za umanamba kwenye mashamba ya tumbaku na katani mkoa wa tabora na huko tanga.).zimebatizwa kwa...
Kundi la wanajeshi kutoka vikosi mbalimbali Tanzania ambao wamepiga kambi MGULANI kwa aajiri ya Maandalizi ya GWARIDE la muungano juzi juzi hapa walifedheheshwa na CAPTEN wao baada ya kuwambia...
Heshima mbele wakuu,nimekua na ndoto siku nyingi za kuwakilisha jimbo langu la Muleba kusini kama mbunge katika Bunge la Jamhuri,Hii sio tu kwa ajili ya kutimiza ndoto zangu tu,bali pia kusaidia...
Wana JF(majembe), nimefuatilia hukumu ya lema iliyotolewa na Jaji Gabriel Rwakabalira na kuona kwamba kuna vipengele viwili vifuatavyo;
Illegal campaigns(kifungu 108),kama mbunge wakati wa...
Wewe unayetumia vibaya na kipuuzi uhuru wako na pia rasilimali TEHAMA nakupa onyo la mwisho.
Si ujanja kuposti video zako U-Tube kwa jina la Wasanii maarufu mfano Kanumba (RIP), Bukuku, Rose...
Wakuu heshima mbele na Poleni sana kwa Misiba iliyotokea na kuwagusa wengi kwa namna moja ama nyingine. Pia Heri ya Sikukuu kwa wale wanaohusika.
Wakuu kuna hoja nimeipata kutoka kwa Rafiki yangu...
Watu kadhaa wamefariki mkesha wa pasaka na wengine wengi kujeruhiwa kwa mapanga huko musoma!Jamani huko musoma kuna utawala gani?mbona matendo ya unyama hayaishi?source ITV news
Najaribu kufikiri vichwa vya habari 2014 baada ya Jaji Warioba kumaliza kazi yake kwa mafanikio makubwa na kuhakikisha kipengele cha kuruhusu mgombea binafsi katika chaguzi zetu zote. My take...
Kwanza kabisa naomba niseme jeshi letu la polisi linatakiwa lisifanye kazi upande wowote ule sababu mishahara yao inatokana na kodi zetu.
Kwann nasema polisi tz hakuna kitu tumeona msiba wa...
Nimeshangaa nimemsikia jaji mkuu mstaafu Agustino Ramadhani BBC anasema 'Tanzania ina mikoa 22 sijui 23' My take: sikufurahia kwa mkubwa huyu kushindwa kuweka kichwani mambo ya msingi kama hili...
Dar drug barons now enter fake goods market
By JOSEPH MWAMUNYAGE
THE EAST AFRICAN
Authorities in Tanzania now believe that powerful drug barons in the country have moved actively into...