bunge limepamba moto, watu wanaongea kwa uchungu na uzalendo mkubwa.
øwatu wamechoka kudanganywa kwa sababu unaweza kuwadanganya watu mahali popote lakini huwezi kuwadanganya watu muda wote...
Zitto kabwe ametueleza wadai wa kampuni ya atcl wameshaanza kulipwa na kuna ushahidi mkubwa wamepewa schedule kubwa tu ya malipo ikiwemo kugawiwa bandari ya mtwara
ndugu zangu wakati wa jf sasa...
nimetafakari sana juu ya hiki Chama nimeona mimi kama kijana ndio natakiwa niwe kiini cha mabadikiko katika nchi yangu. Nimeamua nijivue gamba rasmi. Na sasa naingia rasmi CDM.
Dunia yangu chaguo...
Katika Kuhitimisha Hotuba yake Mh.Zitto amesema kuanzia kesho watakuwa na karatasi mlangoni kuandika jina na kusaini ikiwa kama kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu!Na idadi ambayo inahitaji...
Nimeona kila siku tunakuja na habari nzuri za kuhama kwa wanachama wa ccm nimeona ni vyema tuwe na ka thread kamoja ili kila mtu akifungua anakuta furaha yake na kuangalia anatost na nini kesho...
Hebu nijuzeni wakuu wangu JK kafuata nini Brazili manake sijaelewa link ya sisi na wapiga Samba. Au ameenda kucheki yale mabasi niliyosikia yanatoka huko?
''Mtoto wa mwenzio mbebe kalala akiwa...
Mheshimiwa zito kabwe mwenyekiti wa kamati ya POAC, amewasha moto kwa kueleza kuwa kuanzia kesho wabunge watakusanya sahihi sabini kwa ajili ya kuwasilisha muswada bungeni jumatatu ili kumng'oa...
Haya mambo ya kila mtu kuandika kitu chake bila source, hasa aya ya kuhama kwa wanachama tuwe makini, mara 2000 wamehama chama hiki, 1560 wamehama chama kile, tunafurahi kupata habari humu ss tuwe...
huitaji kuwa na PhD kutoka China,elimu ya shule za kata inatosha kulielewa hili
"tunadaiwa tilioni 14 deni linakuwa kwa 36% wakati huo tunaelezwa uchumi unakuwa kwa 6%"
Kwa muda mrefu sasa ndani ya Tanzania yetu tumekuwa tukishuhudia viongozi wa kiserikali tuliowapa dhamana ya kulinda na kusimamia matumizi bora na endelevu ya raslimali zetu wakisema uongo...
Bungeni ,mbunge analalamika ,naibu waziri, mwana nchi na waziri wote wanalalamika nani wakumsaidia mwenzake? bungeni kila siku kamati zinatoa maoni lakini hayatekelezwi tunakwenda au tunapelekwa wapi?
Habari za jioni wanajf, hatimae jioni hii kutoka bungeni Dodoma Mh Vicent Nyerere ametaja majina ya kampuni za nje za kukagua magari ambazo wamiliki wake wote ni Watanzania hivyo kuthibitisha...
habari za muda wadau?
Naomba kufahamu umiliki wa hii kampuni. Maana nimepata taarifa mradi wa kuangamiza mazalia ya vidudu vya malaria umesimamisha, tokea umeanza maeneo ya Rukwa.
Maana wadudu...
Soma habari hii:
Kenyan Ministers Banned From Using Vehicles Larger Than 1800 Cc. - Source: Politics - Nairaland
News
Last limo ride for Kenya ministers
In Summary
* Officials are to give...