OME123 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,497 Reaction score 606 Apr 19, 2012 #1 Kila mtanzania anadaiwa tsh 350 millioni,hii ni kutokana na madeni inayodaiwa nchi ya tanzania source.bungeni
Kila mtanzania anadaiwa tsh 350 millioni,hii ni kutokana na madeni inayodaiwa nchi ya tanzania source.bungeni
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,761 Apr 19, 2012 #2 omunga said: Kila mtanzania anadaiwa tsh 350 millioni,hii ni kutokana na madeni inayodaiwa nchi ya tanzania source.bungeni Click to expand... Hii ni wana-CCM tu au na mimi!?
omunga said: Kila mtanzania anadaiwa tsh 350 millioni,hii ni kutokana na madeni inayodaiwa nchi ya tanzania source.bungeni Click to expand... Hii ni wana-CCM tu au na mimi!?
Babkey JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 4,838 Reaction score 3,674 Apr 19, 2012 #3 ...silipi ng'o, nimefanyia nini hizo hela! Nimesomeshwa na wazazi wangu "vidudu" mpaka elimu ya juu. Ushuzi mtupu huu.
...silipi ng'o, nimefanyia nini hizo hela! Nimesomeshwa na wazazi wangu "vidudu" mpaka elimu ya juu. Ushuzi mtupu huu.