Nimejivua Gamba Rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimejivua Gamba Rasmi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchochezi, Apr 19, 2012.

 1. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  nimetafakari sana juu ya hiki Chama nimeona mimi kama kijana ndio natakiwa niwe kiini cha mabadikiko katika nchi yangu. Nimeamua nijivue gamba rasmi. Na sasa naingia rasmi CDM.
  Dunia yangu chaguo langu.
   
 2. RUMANYIKA

  RUMANYIKA JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hongera yako kijana. Karibu kwenye mabadiliko.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  jivue gamba la mwisho .... tuambie real Id yako
   
 4. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,705
  Likes Received: 17,756
  Trophy Points: 280
  Mkuu naona kama chupa ya sumu ya panya pembeni ukichoma kadi, ulitaka kufanya nayo nini?
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  haaaa mkuuu umechoma?
  ni kosa kisheria mkuuuu!
  mi ninayo bado na ntapambana nao mpaka mwisho!
   
 6. h

  hans79 JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Hongera,ila elewa waelimishe zaid vijana wenzio nn mana ya mabadiliko na pia elewa huku n kazi tu longolongo hapana
   
 7. T

  Triple DDD Senior Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ribu sana, uache sumu huko please.
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nafrahia kuona watu sasa wanajifungua toka kwenye mikono ya mafedhuri
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu kadi ya CDM utaichukulia wapi? Nasikia Ole Millya na Mawazo wanaandaliwa karamu kubwa na watakabidhiwa kadi kijijini kwao (Millya). Nawe wapi mkuu?
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Naomba kuuliza...
  Wewe origin yako ni Moshi or Arusha?
   
 11. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  ahsante sana
   
 12. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  watu wengine mbna mnakomaa sana me nshakwambia nimejivua gamba ID ya nn sasa??
   
 13. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  hapana sio sumu ya panya
   
 14. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  sasa kama nimeahama niendelee kukaa nayo ya nini?
   
 15. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  nimekusoma mkuu
   
 16. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  hamna noma nshakaribia na nshaacha kila kitu chao
   
 17. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  ndo hivyo washatunyonya vya kutosha sasa basiiiiiiiiiiiii
   
 18. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Moshi na Arusha ndiko wanaotoka wakombozi wa nchi ?
   
 19. C

  Chiume Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CDM bhana kumbe ndo maana Nape alisema mnajitekenya na kucheka wenyewe!! Lakini chama kikikosa wanachama si vibaya kujifariji kwa namna hii!! ungeonekana mzalendo sana kwa kueweka ID yako halisi ili uvutie wengi, si ajabu ukawa ndo ule padri mzinzi!!
   
 20. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  me ntachukua hapa tawi la chuoni(SAUT-mwanza)
   
Loading...