Nani anahamia chadema kesho frm ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anahamia chadema kesho frm ccm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 19, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,136
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Nimeona kila siku tunakuja na habari nzuri za kuhama kwa wanachama wa ccm nimeona ni vyema tuwe na ka thread kamoja ili kila mtu akifungua anakuta furaha yake na kuangalia anatost na nini kesho ba si ni wakati wa ko sasa kuomba mungu aweze kuwaondoa wanachama wote wa ccm nakuhamia chadema ili tuuweze kubadilisha watoto wetu wanaoishi maisha mabaya kuliko walioko somalia
   
Loading...