Kuweni makini.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuweni makini....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kijana leo, Apr 19, 2012.

 1. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Haya mambo ya kila mtu kuandika kitu chake bila source, hasa aya ya kuhama kwa wanachama tuwe makini, mara 2000 wamehama chama hiki, 1560 wamehama chama kile, tunafurahi kupata habari humu ss tuwe tunathibitisha.
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo unashauri iweje?
   
Loading...