Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 228
habari za muda wadau?
Naomba kufahamu umiliki wa hii kampuni. Maana nimepata taarifa mradi wa kuangamiza mazalia ya vidudu vya malaria umesimamisha, tokea umeanza maeneo ya Rukwa.
Maana wadudu wakifa hakuna mradi wa vyandarua, ambao ni kampuni ya A to Z pekee inayotengeneza vyandarua nchi nzima.
Nani yuko on the background?