Dr Jakaya kafuata kocha Brazil au yale mabasi ???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Jakaya kafuata kocha Brazil au yale mabasi ????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiona, Apr 19, 2012.

 1. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hebu nijuzeni wakuu wangu JK kafuata nini Brazili manake sijaelewa link ya sisi na wapiga Samba. Au ameenda kucheki yale mabasi niliyosikia yanatoka huko?

  ''Mtoto wa mwenzio mbebe kalala akiwa macho atauliza mamake alipo''

  Watanzania wameamka wanauliza raslimali zao zi wapi.
   
Loading...