Ukicheza sarakasi na taulo utakaa uchi

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,210
42,072
bunge limepamba moto, watu wanaongea kwa uchungu na uzalendo mkubwa.
øwatu wamechoka kudanganywa kwa sababu unaweza kuwadanganya watu mahali popote lakini huwezi kuwadanganya watu muda wote.
øwatu wanafiri serikali ni ya ccm
ikumbukwe kwamba serikali hii ni yetu sote si ccm wala cdm
ø Ukipiga sarakasi na taulo utabaki uchi.
HAYO NI BAADHI YA MANENO YALIYOJILI BUNGENI KUTOKANA NA UCHUNGU WA KUTAFUNWA KWA PESA ZA UMA
BUNGE LINAVUTIA, UZALENDO UMEANZA KUONEKANA.
USIKOSE KUANGALIA BUNGE
 
Ngoja nianze kuangalia bunge...kumbe limeanza kuwa la kizalendo....hakuna aliyezomewa leo?
 
wabunge wote wenye uchungu kesho wanasaini petition kumuwajibisha waziri mkuu, kuanzia kesho zinahitajika sahihi 70
 
haja zomewa mtu! tutaona jumatatu kama kweli wabunge wa ccm wana uchungu na nchi hii au ni unafiki tu! zina hitajika saini za wabunge 70 tu ili hoja iletwe bunge japo naibu spika amesema kuna utaratibu wa kufuatwa,hapo pana nipa wasiwasi kucheleweshwa kwa hoja hii. tukumbuke ccm ni vigeugeu sana!
 
katika hili ccm hawatakuwa tayari hata kidogo, watafanya kila wawezalo kuokoa jahazi! ivi unadhani watageukana kiac hischo hadharani! wale ni wanafiki tuu, na haki ya nani mtaona kama hilo litawezekana? kwanza wakifanya hivyo eti kumpigia kura ya kutomwamini waziri wao ni kuipa credit chadema, nao kamwe hawana uzalendo kiac hicho! changa la macho hilo, wao wanaongea kwa uchungu ili waonekane kwenye luninga tuu, hawana lolote. kama nadanganya mtasikia porojo j3.
 
Back
Top Bottom