Ni pahala papi hv sasa Tz ambapo kiongozi anaweza kuongea akihofia kutodanganya??!!!

Visionmark

Senior Member
Nov 24, 2011
158
28
Kwa muda mrefu sasa ndani ya Tanzania yetu tumekuwa tukishuhudia viongozi wa kiserikali tuliowapa dhamana ya kulinda na kusimamia matumizi bora na endelevu ya raslimali zetu wakisema uongo.

Viongozi wetu wamekuwa wakitudanganya sio tu makanisani bali hata misikitini, majumbani mwetu, mitaani, mahakamani, ikulu, maofisini, vijijini, mijini, mashambani na hata ndani ya bunge letu tukufu! Hv ni pahala gani hv sasa ndani ya Tz ambapo viongozi wetu wanaweza kuongea nasi pasipo kutwambia uongo!
 
Back
Top Bottom