Nawaonea huruma wabunge vihiyo mjengoni

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Wanajamvi,mi mwenzenu nawaonea huruma wabunge vihiyo pale mjengoni kwani aidha hawachangii au hawajengi hoja ambayo ni constructive.Nawaonea wivu wananchi walio wachagua kwani pengine walimsahau Mungu wakachagua pesa eg.MAJI,KOMBA NK.
 
Back
Top Bottom