Hongera makongoro nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera makongoro nyerere

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kingfish, Apr 18, 2012.

 1. kingfish

  kingfish JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Natoa pongezi kwa charless makongoro nyerere kuwa mmojawapo wa wagombea walioukwaa ubunge wa afrika mashariki.
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nami nampongeza pamoja na wateule wenzake!
   
 3. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama ulimskiliza kwa makini utaona kati ya waliogombea naye alistahili kupata. Maswali yote aliyajibu vizuri na kwa utulivu
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  nami pia nampongeza shemeji yetu Makongoro C. Nyerere
   
 5. paty

  paty JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  nina was wasi sana na hawa wawakilishi wetu katika jumuiya ya A.M maana kimsingi wote wanamtazamo mmoja, toka lini wana ccm wakawa na uzalendo wa kweli , kama tunavyoona wanajumuiya wanavyotuchulia sasa , heshima ya Tanzania imeshuka sana as the result ya wawakilishi wa CCM ambao wanakwenda huko wakiwa hawajui maslai ya nani wayaweke mbele as Long as CC yao inayooongozwa na wakwere ndo inawaamlia wafanye nini na waseme nini .. anyway ... NIMESKITIKA SANA, ILA KILA LA KERI , MSITUANGUSHE TENA
   
 6. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  amejitahidi sana,safii
   
 7. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nice one Mr. Nyerere
   
 8. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  wengine ni kina nani?
   
 9. m

  madam wasatu Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongera shemeji yangu!
   
Loading...