Mwenye schedule ya malipo ya kampuni inayodai atcl atuwekee hapa frm zito-hon,pls | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye schedule ya malipo ya kampuni inayodai atcl atuwekee hapa frm zito-hon,pls

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 19, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  Zitto kabwe ametueleza wadai wa kampuni ya atcl wameshaanza kulipwa na kuna ushahidi mkubwa wamepewa schedule kubwa tu ya malipo ikiwemo kugawiwa bandari ya mtwara
  ndugu zangu wakati wa jf sasa kuweka haya mambo hadharani sioni nini cha kuficha kuizalilisha hii serikali isiyokuwa na adabu kwa wananchi wake
   
Loading...