Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna kundi moja linajiita Uamsho ambalo limekuwa likipinga muungano. Anayejua habari za kundi hili atusaidie, ni chama cha siasa au nini?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nachelea kuwaasa wanachadema kwa maneno kama vile hukumu ni hapahapa duniani na kila aliyeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga,ioneeni huruma hii serikali ya jk hivi hamna jema ililofanya au...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Kwa kumbukumbu zangu ccm ina wabunge wachungaji watatu 1. Mama Rwakatare - viti maalum 2. Asumpta Mshana - Nkenge 3 wa mbeya vijijini (nimemsahau jina). HAWAKEMEI DHAMBI, HAWAKARIPII WALA HAWAONYI...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama kweli lukuvi alimuita Filikunjombe na kumwambia asisaini kwenye kura za kumtoa pinda kwenye jambo la manufaa kwa watanzania atakuwa amewakataza na wabunge wengine wa ccm. Hivi huyu lukuvi ana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hakika mabadiliko yanakuja,tumwombe mola atuvukishe salama katika kipindi hiki cha mabadiliko,watz wenzangu popote mlipo bila kujali dini, itikadi, rangi wala kabila tuungane pamoja kuikomboa nchi...
0 Reactions
2 Replies
926 Views
Tokea uhuru wa nchi hii mpaka mzee wangu kafariki, hawa jamaa bado wapo madarakani tu, nimeamka leo asubuhi..nikiwa nimechoka kusikia majina yao na porojo zao kila siku, nenda kwenye ofisi za...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Source: BBC Scientists say the notoriously dry continent of Africa is sitting on a vast reservoir of groundwater. They argue that the total volume of water in aquifers underground is...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Baada ya kuhojiwa na waandishi wa habari kuhusu tetesi za mawaziri kadhaa kujiuzuru nyadhfa zao Mh. Waziri Mkubwa aliahidi suala hili litajulikana j3. Hivyo mpaka sasa yawezekana watu wamesika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi, Baada ya kutoka safari, nimetulia bar ya Rombo Green View eneo la Shekilango, nimeshuhudia ajali ya boda boda, mbele ya macho yangu just now, boda boda yenye abiria imemgonga mwenda...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
MICHUZI: Rais Kikwete amewasili mjini Blantyre ,Malawi leo jioni kuhudhuria Mazishi ya Rais wa Malawi,Profesa Bingu wa Mutharika Rais Kikwete amewasili mjini Blantyre ,Malawi leo jioni kuhudhuria...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari kutoka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa, mzee mmmoja anayejulikana kwa jina la Nzuankende Kitundu almaarufu kwa jina la MBUNGE wa Kijiji cha misigiri wilayani Iramba mkoani Singida...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
hivi karibuni nilitaka kunywa soda aina ya bitter lemon inayotengenezwa na bonite bottlers ltd, kampuni tanzu ya ipp. wakati nataka fungua niliona mdudu mkubwa tena ameanza kuoza! sasa nawauliza...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Sat, Dec 3rd, 2011Sat, Dec 3rd, 2011 | Tanzania Bank M board chairman Nimrod Mkono Serious shortage of desks in primary schools will now be addressed squarely following the signing agreement of...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu, leo mida ya saa tisa nilikuwa mitaa ya kisutu,wakati na nunua vocha mara jamaa akajitokeza na kusema “aaa masikini!!! amefarik??, muuza vocha akadakia akishangilia akiuliza, jk? jamaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Muheshimiwa spika, kwanza nashuku kwa kuniona na kunipa nafasi ya kuuliza maswali mawili ya nyongeza. 1. Kwa kuwa mawaziri hao wamekubali kuwajibika na kwa kujiuzuru. Je, serikali inampango wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakati umewadia,sababu tunazo,nguvu na uwezo tunao,tunahitaji tuweke nia tu ya kufanya mabadiliko ya kijamii kwa amani kama kawaida yetu.Kwa wapinzani wanatakiwa kuelewa kwamba haiingii akilini...
0 Reactions
2 Replies
752 Views
Mtoto haoni haya wala woga kuonyesha alama za vidole viwili vya Chadema wakati Pindi ni CCM damudamu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tangu jana jioni nimekua nikisikia maneno haya:WAMEJIUDHULU,MARA WAMEANDIKA BARUA YA KUACHIA NGAZI,MARA BUNGE KUTOA MAAMUZI MAZITO,MARA WAZIRI MKUU . KUTOA TAMKO MCHANA HUU,MARA WAZIRI MKUU...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Walinzi wa mali zetu ktk nchi hii wamekwenda likizo ndio maana wakubwa na familia zao wanajichukulia kama zao peke yao. Usalama wa T wako wapi? Takukuru?
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Tanzania security agencies are investigating how millions of euros from an Italian political party were transferred into the country through a foreign commercial bank and invested in the country.*...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…