Habari wana jamii, naomba msaa wa kuwekewa kwenye mtandao wa jamiiforums Audio/mp3 ya Omar Nundu alipokuwa anajitetea na mjadala wa jana jioni wa bunge. Aweke kama alivyoweka kipande cha Zito...
By Edwin Agola
Sunday, 31st July 2011
Julius Nyerere Jr
Edmund Walton
Edmund Walton (26) is grappling with learning Kiswahili language as well as trying hard to get used to riding on Dar es...
Tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote...ila kuna watu wachache wanaofaidi keki ya taifa na wengi wanaendelea kula nyasi,makundi matatu yametengenezwa kundi la kwanza ni...
Kuna mamilioni ya wa Tanzania kupata habari sahihi,kwa wakati sahihi ni ndoto.hili si kwamba ni kwa bahati mbaya,(hapana)ila ni mpango mkakati wa watu wachache walio wavivu wa kufikiri tuliowapa...
Ukifatilia kwa karibu, wasanii wa bongo movie, wanakuwa wa kwanza kuonyesha mfano mbaya kwenye jamii, hasa pale wanapokuwa kwenye kumbi za starehe au wanapokuwa wanaigiza, kwanza wameutupa kabisa...
Wazir anasema katiba mpya ndio itakayotoa ufafanuzi ni muungano upi wananchi wanautaka, wakati rais yeye anawatisha watu wasiujadili kabisa kwenye katiba mpya.
Serikali ya CCM imewadharau watanzania kwa kusema eti ufisadi uliofichuliwa bungeni ni upepo utapita. Nawatangazia umma wote kuanzia sasa tususie shughuli zote za hii serikali kuonyesha machungu...
Basi la Princes muro lililokuwa likitokea Dar es salaam kwenda Tunduma limepinduka majira ya saa tatu usiku katika kona za eneo la Senjele wilayani Mbozi.
Habari za shuhuda aliyepita saa nne...
Kwa sasa gharama za internet kupitia mitandao ya simu iko juu sana nashangaa walisema mkongo wa taifa utasaidia kupunguza gharama za matumizi ya simu badala yake imekuwa kinyume. Mimi binafsi...
Ndufu wanaJF,
Naandaa taarifa fulani hivyo naomba sana sana kwa wadau wenye TAARIFA SAHIHI za vifuatavyo
Tuna upungufu wa vituo nad dispensary ngapi za afya na kituo kiimoja kinagarimu kiasi...
Vipi huu mkakati wa mabasi yaendayo kasi unaendeleaje? Nimeshangaa kuona vituo vimejengwa maeneo mbalimbali bila njia kukamiloika.
Baadhi ya vituo vimeanza kuharibiwa hata kabla ya kutumika...
Waziri wa zamani wa mambo ya nchi za nje wa Malawi Etta Banda(aliyepiga magoti, kulia) akimkaribisha rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa staili ya namna yake mnamo Desemba 2010. Inaonekana Kikwete...
1. MWAKA 2005 sukari 600/=, Mwaka 2010 ni 1800/=, hivyo 2015 itakuwa 5,400/=
2. MWAKA 2005 Mkaa gunia 10,000/=, Mwaka 2010 ni 35,000/=, hivyo 2015 itakuwa 105,000
3. MWAKA 2005 Mchele 600/=...
Wanachuo wa chuo kikuu cha elimu mkwawa wameendeleza wimbi la matukio baada ya jana kuvamia wanakijiji na kuwatembezea mkong'oto ucku ktk kile wanachodai kukomesha ukabaji wanaofanyiwa, leo hii...
Wakuu napenda kuwasalimia kwa unyenyekevu mkubwa. Yawezekana nikawaboa na mada yangu hii lakini kwa kuwa JF ni jukwaa la busara, elimu, weledi nk., natumai nitapata majibu mazuri ya kuniwezesha...
Sijui nitumie maneno gani, lakini naomba niseme kama kweli wabunge wa CCM na serikali yake wanataka kuinua kilimo basi LAZIMA Prof Maghembe aondoke kwenye hii Wizara. Hana jipya, na wala haelewi...
Naombeni wanajf tumshauri mwanasiasa huyo ahamie Chadema ili kuongeza nguvu upande wa visiwani. Ni potential politician ambaye atatufaa. Ni maoni yangu, naomba mwenye nia nzuri aweke mchango wake...
Hivi kwa nini Mwl. hakuwahi kupewa udokta kama walivopewa hawa mapresda wawili wa mwisho, Dr J na Dr. Ben? Maana yule mwingine aliyebaki yy tunamjua vyema. Au Mwl. hakufanya mambo kama wao?