Jf mnatufumbua macho hadi na siye wa vijijini,MUBARIKIWE! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jf mnatufumbua macho hadi na siye wa vijijini,MUBARIKIWE!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by COWARD, Apr 23, 2012.

 1. C

  COWARD Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mamilioni ya wa Tanzania kupata habari sahihi,kwa wakati sahihi ni ndoto.hili si kwamba ni kwa bahati mbaya,(hapana)ila ni mpango mkakati wa watu wachache walio wavivu wa kufikiri tuliowapa dhamana ya kutuongoza.akidhani kwamba kwa kubana fursa za wananchi kupata habari ndio salama yao ya kuendelea kutuburuza.lakini kutokana na teknlojia kwenda kinyume na mipango yao,anguko lao liko dahiri.Teknoljia hiyo ndiyo iliyo niwezesha na mimi kupata kuifahamu,kuiaijua na kuanza kupata habari muhimu kirahisi zaidi ya hapo awali pamoja na kwamba naishi kijijini ndanindani kabisa.jf shukrani zenu
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  badilisha id yako au coward of snakes sababu umesema upo vijijini
   
 3. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,724
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Pia kuna watu wanapata habari, ila hawataki kuamini, hivyo kuamua kukashfu watoa habari. INFORMATION IS POWER!!
   
Loading...