Hamadi Rashid Mohammed | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamadi Rashid Mohammed

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arushaone, Apr 23, 2012.

 1. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Naombeni wanajf tumshauri mwanasiasa huyo ahamie Chadema ili kuongeza nguvu upande wa visiwani. Ni potential politician ambaye atatufaa. Ni maoni yangu, naomba mwenye nia nzuri aweke mchango wake hapa. Naomba kuwasilisha.
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Halafu aids(A D C)amuachie nani?
   
 3. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Naridhika naye kiasi fulani.
   
 4. K

  Kabwanga Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ana uroho madaraka uliona avyochabikia kubadilisha kanuni za bunge kuhusu tafsiri ya kambi rasmi ya upizani.
   
 5. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,251
  Likes Received: 1,975
  Trophy Points: 280
  mwasisi wa chama chenu Mzee Mtei hataki waislam, wee huoni Zito anavyopata tabu pale licha ya uwezo wake mkubwa?
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,764
  Trophy Points: 280
  maneno yako yana sifa ya mtu aliyekosa hoja.
   
 7. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,251
  Likes Received: 1,975
  Trophy Points: 280
  kama umekosa kujibu kwa hoja basi huna hoja!
   
 8. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe. Yatosha kufanya naye kazi akiwa huko aliko.
   
 9. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Huo ulikuwa ni wajibu wake kuhakikkisha chama chake kinaendelea kusikika bungeni kwani kwa mda mrefu cuf ndo kilikuwa chama kiongozi wa upinzani bungeni. Kwa hili asilaumiwe hiyo iliokuwa ni mbinu ya kisiasa.
  Naunga mkono hoja ya kumkaribisha chadema kwani ni mtu mwenye msimamo thabiti, imara, anao uwezo wa kujenga hoja na kuisimamia na hakupendezwa na ndoa ya mkeka ya cuf na ccm ndo akaamua kupingana na katibu wake kwani hakutaka kuburuzwa.
  Sina tatizo na kukaribishwa kwake chadema.
   
 10. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  JIna lake umeliona
   
 11. MAWAZO UJENZI

  MAWAZO UJENZI JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 1,727
  Likes Received: 622
  Trophy Points: 280
  Kalagabaho chadema hakina udini kila mtu anakaribishwa kundini,kwa hyo unataka kusema zito apewe uenyekiti au ukatibu mkuu wa chadema taifa? Hapana zitto bado kdogo kupewa madaraka kama hayo!! Kwa hyo cuf nao hawataki ukiristo? KALAGABAHO???????
   
 12. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hapa kuna vitu kama vitatu vya kuviangalia,

  1.Chadema je wanamkubali kama ni mtu muhimu? nimjuavyo mimi huyu mtu hafai kwasababu ni mbinafsi sana, kama ni mfuatiliaji mzuri kumbuka alivyo behave baada ya kukosa nafasi ya kuwa Mwenyekiti kambi ya upizani bungeni

  2.Yeye mwenyewe kukubali kuhamia chadema, hasa ukichukulia hawa wenzetu walivyo jikita kwenye kuchanganya Siasa na imani za kidini

  3. Je Wanzanzibar wataiunga mkono Chadema? maana watu wengi wanaoishi maeneo yenye misikiti mingi uzoefu unaonyesha wapo slow sana kuielewa Chadema.
   
 13. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hafai huyo ni jamii ya KAFULILA tu huyo!
   
 14. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Unavuruga thread kwasababu ya udini unaokuchemka!!!!.
   
 15. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  haaminiki, ni mnafiki, huyo hata akipata kitubio, anarudia yaleyale
   
 16. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Alipanda UPEPO na sasa anavuna DHORUBA.
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nani asiye na uchu wa madaraka? Hata Slaa alihamia chdema baada ya kupigwa chini kwenye kura za maoni alipokuwa CCM.
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kasema anataka kuhamia chadema au tunajadili ndoto?
   
 19. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwachini apotee kisiasa,kumzungumzia sn kunampaisha,yule bidhaa feki.AMEYATAKA MWENYEWE.
   
 20. m

  mchungusana Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 15
  Maneno yako kama ya sophia yanga
   
Loading...